VIDEO: Mkuu wa Wilaya ya Karagwe atumia JWTZ katika mapambano ya Mihadarati (Bangi)

Kudhani Marijuana ni "hard drugs" ni kupotoka na kufuata mkumbo tu.

Marijuana inamchanganyiko wa THC. Haiuwi wala kuleta matatizo ya akili. Watu wengi si wafuatiliaji na hii ndiyo tatizo.

Kingine watu hudhani marijuana ni kwaajili ya kuvuta tu. Hawajui lolote kuhusu medical marijuana. Hawana habari pale watu wanaougua cancer hupewa mchanganyiko wa marijuana kupunguza maumivu makali wanayopata.

Holland wao wanaruhusu marijuana na watu wana spliff bila tatizo lolote. Hakuna vichaa pale. Pia majimbo kadhaa US sasa wameruhusu pia.

Hapa kuna watu wanaona marijuana ni hatari lakini wao wanaishi kwakutumia dawa kali kabisa za Hospital na wanaona sawa tu. Inabidi watu wafunguke bongo zao wajifunze mambo mapya.

Kweli dude linaloitwa government linawashikia akili mamilioni ya watu. Kamwe hawataweza kuchunguza mambo na kuamuwa kwa fikra huru.
Poleni sana
 
Hatari kubwa.kibali cha kutumia wanjeshi katika kutafuta bangi kapata wapi?Katiba inasemaje kuhusu hawa wenyeviti wa kamati za ulinzi na usalama?Je majeshi yote wilayani au mkoani kwake yako chini yake na anaweza kuyaamrisha?Je ripoti za vikao vyao zinapelekwa wapi?
Tusifurahie kila jambo jamani.
 
Mkuu wewe kalime au uza hizi marijuana utakapokamatwa utawaeleza hizo blah blah
 
Pombe na sigara vinauwa zaidi ya watu 6M kwa mwaka....... Hakuna mtu aliyewahi kufa sababu ya Bangi.

Aliyekataza bangi na kuruhusu Pombe na sigara hakuwa mzima kichwani.
 
Hatari kubwa.kibali cha kutumia wanjeshi katika kutafuta bangi kapata wapi?Katiba inasemaje kuhusu hawa wenyeviti wa kamati za ulinzi na usalama?Je majeshi yote wilayani au mkoani kwake yako chini yake na anaweza kuyaamrisha?Je ripoti za vikao vyao zinapelekwa wapi?
Tusifurahie kila jambo jamani.
Hiyo ni sawa na operesheni ya kusafisha mitaa tu,haihitaji amiri jeshi mkuu.
 
Are you serious??????????? Watu wamevalia kombat na silaha mkononi halafu unasema ni sawa na kusafisha mtaa?Katika karne ya leo wanajeshi wale wakimpiga mtu au kumtesa tume itaundwa na pesa itatumika bila sababu.Tuwe serious jamani!!!!!
 
Hatari kubwa.kibali cha kutumia wanjeshi katika kutafuta bangi kapata wapi?Katiba inasemaje kuhusu hawa wenyeviti wa kamati za ulinzi na usalama?Je majeshi yote wilayani au mkoani kwake yako chini yake na anaweza kuyaamrisha?Je ripoti za vikao vyao zinapelekwa wapi?
Tusifurahie kila jambo jamani.
Kibali amekipata kwako
 
Back
Top Bottom