Video: Mchungaji Msigwa amchana chana Ally Hapi

Kwa hiyo hiyo ndio kazi ya mbunge? Kuwa kazi ya mbunge Ni.kumchana mkuu wa mkoa.Aisee chadema hopeless kabisa
Angalia na upande wa pili ulio na kazi za RC kisha ulinganishe kazi zao ndipo utoe hukumu ya nani hopeless kabisa kati ya Msigwa au Hapi na au Chadema au ccm.
 
Kwa hiyo hiyo ndio kazi ya mbunge? Kuwa kazi ya mbunge Ni.kumchana mkuu wa mkoa.Aisee chadema hopeless kabisa
Hata huyo unayemtetea ni hopeless.juzi alisema atahakikisha upinzani unafutika Iringa, na akiwaona wapinzani anajisikia kichefuchefu,sasa sijui ana ujauzito?Akumbuke hawa ni wanyalukolo wajukuu wa Mkwawa, hawapendi ujingaujinga
 
Mkwawa hajawahi kuzaa Wala kuwa na mjukuu mkinga mwenye jina la Msigwa
 
Back
Top Bottom