mbna kama hiyo ya shishi ilistahili kukaa kundi B pia?Nyimbo kali za msimu huu
Kwetu - Raymond
Moyo mashine - Benpol
Jike shupa - Nuh Mziwanda
Say my name - Shishi baby
Nyimbo mbovu kabisa msimu huu
Aje - King Kiba
Chura - Snura
Colours of Africa - Mafikizolo ft Diamond Plutnumz
Isikilize vizuri utaielewa tu.mbna kama hiyo ya shishi ilistahili kukaa kundi B pia?
mbona nlipockiliza kwa mara ya kwanza tu wimbo wa ex wake mziwanda,jike shupa nimeuelewa!ila ngoja nizidi kuukomalia huwenda nikaulewa.Isikilize vizuri utaielewa tu.
Mkuu sio yeye tu asie jitambua hata hao waliomchagua ndio zaidi ya wasio jitambua.Hajitambui huyu ... hv anapataje ubunge ! mtu kama huyu l fill very sorry for him
Maneno mazito sana haya. Hebu fikiri kama yule Agnes Marwa naye!Hii dunia haina usawa kabisa, majinias wapo wanasota mtaani ila bungeni wamejaa vilaza
Nyimbo kali za msimu huu
Kwetu - Raymond
Moyo mashine - Benpol
Jike shupa - Nuh Mziwanda
Say my name - Shishi baby
Nyimbo mbovu kabisa msimu huu
Aje - King Kiba
Chura - Snura
Colours of Africa - Mafikizolo ft Diamond Plutnumz
Lugha tatizo, Mantiki ya mbunge huyo ni kuionyesha Serikali jinsi inavyodandia mafanikio ya wasanii baada ya kutoka.
Ametumia lugha ya picha kuelezea ubora wa Mondi juu ya sanamu mashuhuri.
Ukweli hoja ya babies amegusa pabaya
Hi hi unaezakuta Goli la mikono kama mkuch.......Mkuu sio yeye tu asie jitambua hata hao waliomchagua ndio zaidi ya wasio jitambua.
Ivi unaanzia wapi kuchaguwa mtu kama huyu kileta bungeni.
Mtu asie jua hata maana ya lile sanamu analo liongelea unaanzia wp kulifaninisha lile sanamu na daimond?
Kama ameona anahoja ya kuweka kumbukumbu za daimond hii nchi ni kubwa sana na ina sehemu nyingi tu za kuweka sananamu la daimond bila kuvunja sanamu lolote lile.
Muhim ni angejenga hoja yenye mantiki tukamuelewa sio kuropokwa tu.