Rais Magufuli anajenga upinzani

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
HATUA ya serikali kuzuia matangazo ya moja kwa moja ya imetajwa kuathiri zaidi Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuliko vyama vya upinzani, Anaandika Pendo Omary.

Wakizungumza na MwanaHALISI Online leo wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wamesema, hatua hiyo inachangia kuwajenga wabunge wa upinzani ambao sasa taarifa zao zinafika zaidi kwa wananchi kuliko za wabunge wa CCM.

“Ni wazi serikali na CCM wanashirikiana kudhibiti bunge lisirushwe ‘live’ wakiwa na lengo la kuwakomoa wapinzani. Wabunge wa CCM nao wanafurahia hatua hii.

“Wananshidwa kujua wao wenyewe wanajinyimwa fursa wananchi kuona mambo mazuri yanayosemwa bungeni na mawaziri wao,” amesema Khamis Rajabu, Mkazi Kariakoo.

Grace Lameck, Mkazi wa Mwananyamala amesema, “Sasa tunaelewa kwa nini bunge linazuiwa kurushwa ‘live’, ni kuficha udhaifu wa wabunge wa CCM.

“Mfano ni hili sakata la Goodluck Mlinga, Mbunge wa Ulanga (CCM) hivi karibuni kudai kwamba, anayeteuliwa kuwa mbunge wa viti maalum ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) lazima aitwe ‘beby’ ikiwa na maana ya kuwa na uhusiano wa kimapenzi. Huku ni kufilisika hoja,” amesema Grace.

Grace amesema tarehe 13 Mai, 2016 baada ya Nape Nnauye ambaye ni Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2016/2017 Mlinga alisema “ingekuwa amri yangu tungechonga sanamu la Diamond tukaliweka kwenye mnara wa Askari, ule mnara tumeuchoka.”

Na kwamba, kauli hiyo imechangia wanachi kukosa imani na uteteuzi wa wabunge wa CCM kuhusu kutorushwa bunge moja kwa moja.

Akiandika katika ukurasa wake wa Facebook, Irene Kiria, Mkazi wa Dar es Salaam anasema “bado sijaelewa kwa nini Bunge limeamua kuwapa upinzani umaarufu kiasi hiki. Social media (mitandao ya kijamii) imetaja zaidi yanayosemwa au kufanywa na wabunge wa upinzani kuliko wa CCM lakini mabaya ya CCM kuliko ya wapinzani.

“Kwa utendaji wa Rais Magufuli ulivyokubalika, wengi wetu tulipata mashaka iwapo upinzani utakuwa na nafasi katika Serikali ya Awamu ya Tano. Binafsi nikiri sasa kwamba, nilikuwa miongoni mwa waliojiuliza hivyo, kumbe nilikosea,” ameandika Kiria.

Pia Kiria ameanndika “kuzuia bunge ‘live’ ni ushahidi kwamba kimwili tunaishi katika karne ya leo lakini fikra na matendo yetu bado yako karne iliyopita. Matokeo ni huu mkanganyiko tunaoshuhudia, kulifanya jambo kusambaa na kufahamika zaidi kwa kitendo cha kujaribu kulizuia.

“Nadhani serikali na CCM wanatakiwa kutathmini namna wanavyoathirika kwa kufuta bunge ‘live’ isipokuwa kama hilo ndilo lengo lenyewe – kuwafanya wapinzani wang’are zaidi.”
 
unapatwa na tatizo la nini? kama unaona JPM anaujenga upinzani sio ndio vizuri wewe na wenzako mfurahi au wewe mwenzetu ni mwana CCM? acha aujenge upinzani tuendelee kuzungusha mikono kama mwaka jana.
kwi kwi kwi ...... haya vuka mto majani karibu yanaisha
 
Si ndo mfurahi sasa..kazi mmerahishiwa kqa nn msifurahi?

amewaachia hiyo ajenda ambayo haina mashiko(uwezi mweleza mpiga kura wako magufuli ni mbaya coz haonyeshi bunge live akakuelewa wakati anaona kazi za magufuli) ili mzunguke nayo, yeye anapiga kazi mpaka siku mkijigundua yeye yuko m 2000000 ahead
 
unapatwa na tatizo la nini? kama unaona JPM anaujenga upinzani sio ndio vizuri wewe na wenzako mfurahi au wewe mwenzetu ni mwana CCM? acha aujenge upinzani tuendelee kuzungusha mikono kama mwaka jana.
kwi kwi kwi ...... haya vuka mto majani karibu yanaisha
Mbaya zaidi upande huu hakuna Futuhi
 
amewaachia hiyo ajenda ambayo haina mashiko(uwezi mweleza mpiga kura wako magufuli ni mbaya coz haonyeshi bunge live akakuelewa wakati anaona kazi za magufuli) ili mzunguke nayo, yeye anapiga kazi mpaka siku mkijigundua yeye yuko m 2000000 ahead
Mkuu hivi wewe nimumini wa futuhi
 
umejaribu kutetea hoja yako lakini si kweli kuwa eti kutooneshewa live bunge ni kukuza upinzani.
Bunge kutokuwa live ni pigo kubwa sana kwa upinzani.ona JK alivyo kuza upinzani na demokrasia kupitia bunge hadi akina lema wanammis.

Otherwise unataka kudanganya umma kwa bandiko lako maana sijaona hata mmoja aliye toa hoja yenye mashiko may be wote hao ni std 7.
 
Ukweli ni kwamba mtaani watu hawaongei mambo ya bunge, wala mambo ya upinzani! Ni JPM, sasa sijui ukawa ipi inayoimarika!
Sisiemu sasa hivi ni kwamba inasafiria nyota ya JPM na inapaa kweli kweli ingawa yenyewe kama yenyewe watu waliichoka, nafikiri jamaa akichukua uenyekiti ndo ataua upinzani kama ataendelea kusafisha hadi chamani, mtaani jpm anakubalika vibaya mno!!
 
Wewe unajua kusoma kweli?
Barare Limited
On 7 April 1997, Edward Ngoyayi Lowassa and his wife Regina Mumba Lowassa incorporated a company by the name of Barare Limited. They are both listed as shareholders, each with 500 shares. They were also both listed as directors of the company which was located on Maktaba Street, Dar es Salaam. In May 2009, Barare Limited was the subject of a money laundering investigation in the UK, after Lowassa's son, Frederick Edward Lowassa was suspected of money laundering.[10]
 
umejaribu kutetea hoja yako lakini si kweli kuwa eti kutooneshewa live bunge ni kukuza upinzani.
Bunge kutokuwa live ni pigo kubwa sana kwa upinzani.ona JK alivyo kuza upinzani na demokrasia kupitia bunge hadi akina lema wanammis.

Otherwise unataka kudanganya umma kwa bandiko lako maana sijaona hata mmoja aliye toa hoja yenye mashiko may be wote hao ni std 7.
Usimdharau binadamu mwenzako
 
Barare Limited
On 7 April 1997, Edward Ngoyayi Lowassa and his wife Regina Mumba Lowassa incorporated a company by the name of Barare Limited. They are both listed as shareholders, each with 500 shares. They were also both listed as directors of the company which was located on Maktaba Street, Dar es Salaam. In May 2009, Barare Limited was the subject of a money laundering investigation in the UK, after Lowassa's son, Frederick Edward Lowassa was suspected of money laundering.[10]
Ndio mekuja na Maigizo haya?
 
Nilijuwa kasi ya Magufuli ya itapelekea upinzani kufa kifo cha mende.Lakini dah yaan ndio kwanza upinzani umepata pa kushikia mpaka 2020.#Bunge live
 
Ndio mekuja na Maigizo haya?
Richmond corruption scandal
On February 7, 2008, Lowassa was forced to resign after being implicated in the Richmond Energy deal corruption scandal. This followed a parliamentary select committee report on an emergency power generation contract between the Tanzania Electric Supply Company Ltd (TANESCO), a public corporation, and a US company styled Richmond Development Company LLC of Houston, Texas. The five-member select committee, headed by Kyela MP, Dr. Harrison Mwakyembe, found the contract to have been fraudulently concluded, hence unconscionable. Richmond was contracted to provide 100 megawatts of electricity each day after a drought early in 2006 but the Richmond generators arrived late and did not work as expected. In spite of this, the government paid Richmond more than $100,000 a day.[5] Lowassa's office then influenced the government's decision to extend Richmonds contract despite advice to the contrary form TANESCO. Two other cabinet ministers who had held the energy portfolio, Dr. Ibrahim Msabaha and Nazir Karamagi were forced to resign as well.[8][9]

Lowassa however denied that his office was involved in improperly awarding a contract to US-based electricity company Richmond Development in 2006.[3
 
HATUA ya serikali kuzuia matangazo ya moja kwa moja ya imetajwa kuathiri zaidi Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuliko vyama vya upinzani, Anaandika Pendo Omary.

Wakizungumza na MwanaHALISI Online leo wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wamesema, hatua hiyo inachangia kuwajenga wabunge wa upinzani ambao sasa taarifa zao zinafika zaidi kwa wananchi kuliko za wabunge wa CCM.

“Ni wazi serikali na CCM wanashirikiana kudhibiti bunge lisirushwe ‘live’ wakiwa na lengo la kuwakomoa wapinzani. Wabunge wa CCM nao wanafurahia hatua hii.

“Wananshidwa kujua wao wenyewe wanajinyimwa fursa wananchi kuona mambo mazuri yanayosemwa bungeni na mawaziri wao,” amesema Khamis Rajabu, Mkazi Kariakoo.

Grace Lameck, Mkazi wa Mwananyamala amesema, “Sasa tunaelewa kwa nini bunge linazuiwa kurushwa ‘live’, ni kuficha udhaifu wa wabunge wa CCM.

“Mfano ni hili sakata la Goodluck Mlinga, Mbunge wa Ulanga (CCM) hivi karibuni kudai kwamba, anayeteuliwa kuwa mbunge wa viti maalum ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) lazima aitwe ‘beby’ ikiwa na maana ya kuwa na uhusiano wa kimapenzi. Huku ni kufilisika hoja,” amesema Grace.

Grace amesema tarehe 13 Mai, 2016 baada ya Nape Nnauye ambaye ni Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2016/2017 Mlinga alisema “ingekuwa amri yangu tungechonga sanamu la Diamond tukaliweka kwenye mnara wa Askari, ule mnara tumeuchoka.”

Na kwamba, kauli hiyo imechangia wanachi kukosa imani na uteteuzi wa wabunge wa CCM kuhusu kutorushwa bunge moja kwa moja.

Akiandika katika ukurasa wake wa Facebook, Irene Kiria, Mkazi wa Dar es Salaam anasema “bado sijaelewa kwa nini Bunge limeamua kuwapa upinzani umaarufu kiasi hiki. Social media (mitandao ya kijamii) imetaja zaidi yanayosemwa au kufanywa na wabunge wa upinzani kuliko wa CCM lakini mabaya ya CCM kuliko ya wapinzani.

“Kwa utendaji wa Rais Magufuli ulivyokubalika, wengi wetu tulipata mashaka iwapo upinzani utakuwa na nafasi katika Serikali ya Awamu ya Tano. Binafsi nikiri sasa kwamba, nilikuwa miongoni mwa waliojiuliza hivyo, kumbe nilikosea,” ameandika Kiria.

Pia Kiria ameanndika “kuzuia bunge ‘live’ ni ushahidi kwamba kimwili tunaishi katika karne ya leo lakini fikra na matendo yetu bado yako karne iliyopita. Matokeo ni huu mkanganyiko tunaoshuhudia, kulifanya jambo kusambaa na kufahamika zaidi kwa kitendo cha kujaribu kulizuia.

“Nadhani serikali na CCM wanatakiwa kutathmini namna wanavyoathirika kwa kufuta bunge ‘live’ isipokuwa kama hilo ndilo lengo lenyewe – kuwafanya wapinzani wang’are zaidi.”
Hahaha naona Nyumbu wanajipa moyo.

Any way mfa maji haachi kutapatapa..

Ukweli ni
Ukirudiwa uchaguzi wa rais Leo na chadema wakapata kura zaidi ya million 2 , haki ya Mungu natembea kwa miguu kutoka Dar hadi Simiyu.
 
Back
Top Bottom