Mbowe is wrong; kinachoendelea sasa siyo tofauti ya mtazamo au misimamo au maoni; ni zaidi ya tofauti hizi kwani ingekuwa hivi watu wangeshawishiana kwa hoja na kumaliza.
Kuna chuki, kuna kisasi, kuna hasira, kuna ugomvi na ukiangalia sana kuna tofauti za kimaslahi ambazo zinasukuma makundi mbalimbali. Ingekuwa tofauti ya msimamo tu au mtazamo watu wasingejali sana kwani ni ya kawaida. Ni sawasawa na kujaribu kuona meli inazama na inaingiza maji na kusema ati ni suala la upepo tu na kwa vile ni baharini basi meli itayumba kidogo.
Well.. think about it...