VIDEO: Mbinu za wezi wa magari.

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
4,019
Reaction score
2,932
Magari mengi ya siku hizi si rahisi kuyaiba mpaka uwe na funguo yake. Hata hivyo wezi wa magari hawakosi mbinu kila siku. Tuwe waangalifu, usiache gari lako funguo ikiwa kwenye gari. Unatakiwa uzime gari, uondoke na funguo yako. Sasa angalia video hii ambayo ilipigwa na security camera:

[video=youtube_share;VSabazVNNq8]http://youtu.be/VSabazVNNq8[/video]
​
 

Hili tukio ni la kutengeneza japo lina mbinu ambayo inaweza kutumiwa/ilishatumiwa kwenye maisha ya wezi.
 
Kwa wale msioweza kuiona Video mmechelewa kidogo mwizi keshakimbia na gari! Sisi tuliowahi tulishuhudia tukio
 
mbinu za kitoto sasa mkiwa wawili akashuka mmoja? ina maana huibiwi
 
Hawa ni wachekeshaji na sio wezi hakuna wizi style hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…