digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,401
- 22,952
Hajawahi kufa mtu akafufuka,
sasa nikuwe mara ngapi, hapo utaambia nabii kamfufua. Najua hicho ndo kinachofuata. Kama mpaka umri huu nilio nao sijawahi ona mtutu akifufuka bas sitakaa nikiiona hilo. Huyo alikuwa hajafa alikuwa chumbani kafichwaKua uyaone, hii stori ni kweli kabisa. Sijui unataka uthibitisho gani
sasa nikuwe mara ngapi, hapo utaambia nabii kamfufua. Najua hicho ndo kinachofuata. Kama mpaka umri huu nilio nao sijawahi ona mtutu akifufuka bas sitakaa nikiiona hilo. Huyo alikuwa hajafa alikuwa chumbani kafichwa
Hajawahi kufa mtu akafufuka,
Wafuate huko ukawaulize mkuu!UPUUZI MTUPU KAMA ALIKUFA NA KUZIKWA SASA ALITOKAJE HUMU KABURINI
Wafuate huko ukawaulize mkuu!
Nabii Nani huyo kwa faida wengiNi nabii pekee ndiye aliyefufuka, hizi nyengine zitabaki kuwa story daima.