Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 54,264
- 43,417
- Thread starter
- #61
Nikionaga post zako za Israel
Nachela Sina mbavu nkaagiza dompoo ninywe mpendwa
View: https://x.com/adamemedia/status/1896762674383577389?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Nikionaga post zako za Israel
Nachela Sina mbavu nkaagiza dompoo ninywe mpendwa
Hawa hapa ni walinzi wa Knesset wakishambulia familia zilizofiwa na walionusurika tarehe 7 Oktoba na kuwazuia kuingia kwenye jukwaa la kutazama, ili Netanyahu atoe hotuba bila kusumbuliwa!
View: https://x.com/muhammadshehad2/status/1896601839954755815?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Waislamu Wenzio wa Jerusalem wanadundana
View: https://x.com/israelnewspulse/status/1896689084787314828
Unaumia sana mlokoke wa kwimba.. **** maji mengi lita 5 papo apo! Pole snMshukuru wayahudi kwa wema wao wanawapa kipondo harafu wanawapa na Msosi mnakula mnashiba na mkishashiba mnawafanyia ugaidi!!