Wakuu,
Jeshi la Israel limefanya mashambulizi makubwa Gaza, likisema linashambulia ngome za Hamas. Wizara ya Afya ya Hamas imeripoti vifo vya watu 330.
Mashambulizi yalianza alfajiri wakati wa daku, yakilenga Gaza City, Rafah, na Khan Younis. Israel imesema operesheni hiyo ni kujibu kukataa...