MatopeMaalim seif akili zake azina akili
Anafanya siasa Zanzibar kwa kipindi hiki yeye ni kama nani?
haba cheo chochote pale ACT zaid ya kuitwa mshauri wa chama kama mzee makamba
Anafanyaje siasa Zanzibar wakati ACT haina hata diwani mmoja usema ni mkutano wa diwani Mm nilialikwa.
Yule mzee seif kama sio chizi basi anakalbia uchizi
Sent using Jamii Forums mobile app
MSHENZI NI MSHENZI TU na jasiri haachi asili!!Kinachotakiwa kufanywa na Maalim ni kutuma watu katika miji ya Mtwara lindi na Bagamoyo kabla ya uchaguzi mkuu ujao
Ili akathibitishie jinsi washenzi wanavyokusanya watu na kuwapeleka Zanzibzar kwenda kupiga kura.
Kidocument kila kitu ili UN EU UK wapate nakala
Mimi nayasema haya kwasababu nilikuwa kwenye Chama cha washenzi kabla kuomba toba kutoka kwa Mwenyezi Mungu
Na tulikuwa tunahusika kwenye huu ushenzi
Itakuwa hasara kubwa sana kwa Zanzibar kuwa na Rais kama MasauniAkiongea katika mikutano yake ya ndani maalim seif asema masauni amefanya ushenz wa hali ya juu, adai kwanini hakuzuiwa bashiru, adai masauni anajipendekeza anataka urais wa zanzibar haupati ng’oo.. link👇
acha jazba za kike.Maalim seif akili zake azina akili
Anafanya siasa Zanzibar kwa kipindi hiki yeye ni kama nani?
haba cheo chochote pale ACT zaid ya kuitwa mshauri wa chama kama mzee makamba
Anafanyaje siasa Zanzibar wakati ACT haina hata diwani mmoja usema ni mkutano wa diwani Mm nilialikwa.
Yule mzee seif kama sio chizi basi anakalbia uchizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Jumuiya ya Cuf ya CCM imezikwa rasmi na Jemadari la siasa Maalim Seif Sharif HamadMaalim seif ameanza tena ubaguzi wake
Kwani masauni hawezi kuwa Rais wa Zanzibar !
Yeye ndiye mpiga kura?
Nimemdharau sana huyu Mzee
Ndio kashasema unamaoni gani juu yake?Maalim seif akili zake azina akili
Anafanya siasa Zanzibar kwa kipindi hiki yeye ni kama nani?
haba cheo chochote pale ACT zaid ya kuitwa mshauri wa chama kama mzee makamba
Anafanyaje siasa Zanzibar wakati ACT haina hata diwani mmoja usema ni mkutano wa diwani Mm nilialikwa.
Yule mzee seif kama sio chizi basi anakalbia uchizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Jumuiya ya Cuf ya CCM imezikwa rasmi na Jemadari la siasa Maalim Seif Sharif Hamad
huyu mzee ndio maana nyereree.alimwambia hatakaa apate urais zanzibar kama akiendelea na ubaguz wake wa wapemba na.waungujaMaalim seif ameanza tena ubaguzi wake
Kwani masauni hawezi kuwa Rais wa Zanzibar !
Yeye ndiye mpiga kura?
Nimemdharau sana huyu Mzee
Maalim seif hawezi kuwa kiongozi wa Zanzibar hata dunia igeuke