Mtu mwizi hafai kukabidhiwa ikulu...
Dada yangu nawe unajiita great thinker bi bora uendelee na hile kazi yako mahana akija mteja wa kichaga hutomuuzia?funguka na ukabila wako.Jamani WACHAGA mwaka huu waspochuma ktk siasa hawatachuma kamwe. HUYU KATIBU MWENEZI WA ROMBO KATIA mpya, na wananchi/wanachama wa CHADEMA WAmetia fora kwa kurudisha kadi za CHAGADEMA.
Mmmmmmm hii ni mpya. Katibu mwenezi wa CHAGADEMA aenda CCM, NA WANACHAMA KIBAO WA chagadema waenda CCM. Wapi ile M4C.
Ccm kupitia makamba walishakataa wanachama wao kushiriki midahalo