Video: Kundi la Wanachama wa Chadema la G 55 'Stronger together'

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,779
Kundi la Wanachama wa Chadema la G 55 kwaajili ya kuweka mambo sawa ambayo yanapotoshwa mitandaoni kuhusu muelekeo wa chama chao.

Wamesema lengo la kundi lao nikuweka umoja wao pamoja na kushauriana baadhi ya mambo kuhusu uchaguzi Mkuu na jinsi wanavyoweza kujiandaa na uchaguzi huo.

Your browser is not able to display this video.
 
Kama fomu zao zitaidhinishwa na nguchiro basi waendelee kujidanganya na kushupaza makalia yao. hata aibu hawaoni, hivi yule mjane wa Manyoni si anawaona hawa ni mazezeta tu.
Unajua jamani wanaokwenda shule ni wengi lkn wanaoelimika ni wacheche.
Na napenda kuwakumbusha tu kwamba Division one ya darasani sio division one ya huku duniani. Nyie akina mwezi mchanga, mjitafakari, mmedandia treni kwa mbele.
55 Stronger, Kwa hiyo Milioni tano na ushehe ni weaker, mmelogwa sio bure. Kama sio njaa au vijiposho basi naomba mkajiangalie kwenye kioo mhakikishe kweli mmevaa nguo au mmebaki na boxer
 
Mbowe kaamua kudhamini kikundi cha wahasi
 
Wapuuzi hao. Yaani mnaunda chama ndani ya chama? Fukuza wote wapumbavu hao, hata kama chama kitakufa ni sawa tu kuliko kuwa na genge linalojali matumbo yao
Uzuri wameshajiorodhesha kwa hiyo Kila Tawi linachukua jina la Mtu wake linapiga chini. Situronga tugeza ya mavi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…