Video: John Mrema aishiwa uvumilivu , amuumbua Dr Slaa

Kama nitakuwa nimemwelewa vizuri mleta Mada, kwa Kweli kitendo anachofanya mwenye nyumba cha kuwapandishia Wapangaji Kodi kila Mkataba unapoisha sio Kizuri. Halafu hafanyi marekebisho yoyote, Choo Kibovu, rangi vyumbani imechoka na kuna baadhi ya vyumba vinavuja. Yeye akipata pesa ni pombe tu.
We naye...hiki ki-comment chako ndo unatupia kwenye kila uzi?
Acha utoto.
 
Nyie hata hamjifunzi, hebu muulize huyo john kuwa lowassa bado raisi wa moyo wake??
 
Kama nitakuwa nimemwelewa vizuri mleta Mada, kwa Kweli kitendo anachofanya mwenye nyumba cha kuwapandishia Wapangaji Kodi kila Mkataba unapoisha sio Kizuri. Halafu hafanyi marekebisho yoyote, Choo Kibovu, rangi vyumbani imechoka na kuna baadhi ya vyumba vinavuja. Yeye akipata pesa ni pombe tu.
Teh ... Pombe bhana
 
Hili nLo jinga lingine, eti list ya mafisadi iliyotangazwa na chadema. Sasa si kama kawaida yenu mlikuwa mnajiandikia bila ushahidi.

Kuna usemi wa kiingereza: WHEN U R IN ROME DO AS ROMANS DO.

Slaa alipokuwa chadema, alifanya mambo yake kichadema, KUROPOKA OVYO, KUTOA TUHUMA ILI KUWACHAFU WANA CCM WANAO WATANDIKA KISIASA.
 
Nilikuwa namheshimu sana Dr Mihogo. Hata alipojiweka pembeni siku Lowassa alipojiunga CHADEMA nilimuelewa na nikaanza kumtangaza kuwa ni mtu mwenye msimamo kama Nelson Mandela, ila siku chache baadae alipoanza kuitetea tena ccm ile ile aliyokuwa anainanga nikajuta kumuamini.
Nimefuatilia historia tangu kuzaliwa kwake, na ningejua hayo mapema nisingethubutu kumtetea kwa namna niliyoifanya. Dr Mihogo; Bwana Yesu wa Nazareth anisamehe; lakini nakuombea upate unachokistahili.
 
Lowassa bado raisi wa moyo wako?? Maana nyie kwa ujinga ni namba moja
 
Mrema ni kikaragos tui cha Mbowe pale ufipa
Ni kichuguu tu huyo mwenye njaa,hiyo nafasi ya ukurugenzi wa Halmashauri na unge alipewa na Slaa
 
usimshambulie Mrema , shambulia hoja zake
Kama ni listi ya mafisadi hata yeye mrema alikubali lowassa awe mgonbea wa chadema
Slaa alishajitakasa kwa kitendo chake cha kujiondoa,kumtaka aseme neno kuhusu kupelekwa mahakamani mafisadi wale ni kupiteza muda kwa sababu ni mrema huyo huyo ndie alieng'oa hiyo listi kwenye tovuti ya chadema
Mrema ni mnafiki na mchumia tumbo tu
 
John Mrema ameangalia tatizo la Slaa kwa angle ya utamaduni

Ni mila na desturi ya Kiafrika ya "wakati wa kula hakuna kuongea ongea..."

tamaduni za wenzetu wao wanazungumzia issue za wanafamilia wakati wa dinner table conversation...
 
Back
Top Bottom