Kilongwe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2008
- 423
- 116
Ni ukweli usiofichika kuwa, katika dunia ya leo, zaidi ya nusu ya vijana wa Kitanzania wanaotumia Internet, basi hutumia Facebook. Tumeona matukio kadhaa ya watu kudhalilishwa na wengi kuamua hata kususa kutumia mitandao jamii. Juzi tumesikia naibu waziri mwenye dhamana ya ICT akitangaza kujitoa What's Apps kutokana na watu ambao ni marafiki zake huko kutochunga matumizi yao.
Ila, je hii mitandao ni ya kukimbiwa? Jibu ni hapana, ingawa kuna mengi ya kufanya ili kuhakikisha ufaragha wako, leo hii tunashare machache kwa video juu ya hatua muhimu za kuchunga ufaragha wako kwenye Facebook.
Source: AfroIT.com

Last edited by a moderator: