Usidanganye watu. Hivi unategemea kuna nchi inaweza kusema haimuungi mkono Rais fulani? Kuna lugha ya kidplomasia ambayo hutumika miongoni mwa mataifa. Ukitaka kujua nchi au jumuia fulani inamuunga mkono kiongozi au nchi fulani, angalia matendo, usisikilize kauli ambazo mara nyingi haziashirii uhalisia.Hivi hawa ukuta nani atawaunga mkono?hali halisi hata jumuia za ulaya zinamuunga mono mteule rais!wao wakitegemea waungwe mkono na nani sasa!
Hayo mambo ya UKUTA ni kupotezeana mda tu,JPM ana mambo muhimu zaidi ya kuwafanyia wananchi kuliko kukaa meza moja na watu wanaompinga kwa kigezo cha kumkashifu kama vipi waende mahakamani au Wasubiti hadi siku watakapokua marais.mkuu unategemea kuna kanda yoyote ya CHADEMA itapinga? na mkoa wowote wa CCM kuunga mkono?
nadhani kwa hili bado kuna nafasi ya mazungumzo,, na chama kitumie mbinu za kisheria kama alivyosema mh.Mbowe wakat anawakataza BAVICHA wasiende kuumizwa dodoma.
namuomba pia mh Rais aikaze shingo, awe tayari basi kusikiliza maoni na matakwa ya upinzani kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi.
Adden ni hivi - suala la kwamba nani atawaunga CDM kuhusu UKUTA si suala la msingi. Unaweza kuwaunga au kutowaunga. Suala la msingi ni kwamba CDM wana haki ya kikatiba na kisheria kufanya shughuli za siasa.Ndo sababu JPM angewapuuza tu na akaendelea na kasi yake. Kwa jinsi ninavyofahamu watu wengi wangeelekeza macho na masikio yao kwa kile anachokifanya JPM na sio kile wanchokifanya CDM. Anachokifanya JPM ni sawa na mtu anayetembea halafu kipepeo akatua kwa koti lake na mtu huyo akatumia nguvu nyingi kumwondoa kipepeo huyo kwa kuwa ni mzito na hivyo basi anapunguza mwendo wake.Hivi hawa ukuta nani atawaunga mkono?hali halisi hata jumuia za ulaya zinamuunga mono mteule rais!wao wakitegemea waungwe mkono na nani sasa!
mkuu unategemea kuna kanda yoyote ya CHADEMA itapinga? na mkoa wowote wa CCM kuunga mkono?
nadhani kwa hili bado kuna nafasi ya mazungumzo,, na chama kitumie mbinu za kisheria kama alivyosema mh.Mbowe wakat anawakataza BAVICHA wasiende kuumizwa dodoma.
namuomba pia mh Rais asikaze shingo, awe tayari basi kusikiliza maoni na matakwa ya upinzani kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi. kumbe pande zote mbili zina wajibu wa kuepuka vurugu. pasiwepo na upande wa kutumia nguvu..
kwa sababu zile tetesi eti wanamchokoza mkulu na wanamjua kuwa ataamuru majeshi yauwe waandamanaji, ili wapate sababu ya kumpeleka ICC.
upuuzi ww unafikiri kwa kutumia makalio nnHayo mambo ya UKUTA ni kupotezeana mda tu,JPM ana mambo muhimu zaidi ya kuwafanyia wananchi kuliko kukaa meza moja na watu wanaompinga kwa kigezo cha kumkashifu kama vipi waende mahakamani au Wasubiti hadi siku watakapokua marais.
Wewe ni mpumbavu ndiyo maana umekalia mitusi,ungekua na akili ungejibu hojahoja na siyo matusi.Acha
upuuzi ww unafikiri kwa kutumia makalio nn
Alie wakataza ccm wasifanye mikutano n nani
Kwanzia lin mkutano ukawazuia watu kufanya kazi
Wapi umesikia watu wanalazimishwa kwenda mkutanoni
Ukuta lazma ufanyike watake wasitake
Kwa taarifa hata wanaCCM WANWAWUNGA WAPINZANIHivi hawa ukuta nani atawaunga mkono?hali halisi hata jumuia za ulaya zinamuunga mono mteule rais!wao wakitegemea waungwe mkono na nani sasa!