Video: Iyanya feat Diamond - 'Nakupenda'


wivu utakuuwa we mage..se nyauuuuu
 
i like Diamond's moves... kuna ka style flani hivi hawajakapa airtime ya kutosha..

Umekanotic pia , mwenyewe nimeona kangenogesha sana,
Wimbo una melody nzur sana
 

nlivokuwa nasikiliza audio nili "Expect" kitu tofauti tena kizuri kumbe......watakuwa wanatania hawa watatengeneza video nyingine naona
 
nlivokuwa nasikiliza audio nili "Expect" kitu tofauti tena kizuri kumbe......watakuwa wanatania hawa watatengeneza video nyingine naona

Ila hapa wa kulaumiwa ni Iyanya na director wake coz wanaonekana hawakujipanga yaani hata hawakuchukua madencer wa kueleweka, inaonekana kuna ile style Diamond anaicheza anakua kama anamfundisha Iyanya halafu iyanya anakua km hajaielewa hivi yaani iko kama behind the scene hivi!

But song ni bonge la songi
Kati ya collabo Diamond alizoua sana hii ni mojawapo!
 
 

hahahahah...this time atakonyeza maji..wonders never end
 


sio kila video lazima madansa wawepo banaaa,,,,
 
Jaman malimau nagawa bureeeeee kwa watapikajiii
 
video mbovu kuliko zote nilizowahi kuziona,utumbo mtupu

Tunakujua wewe ni timu kiba ila nakupa pole kwa kuumia kwa roho mbaya kama ya kongosho.

Hivi hauchoki? Unajijua kumekucha ila unaandika up.upu kweli tangu uanze kuandika mbona huyo unayemsimamia hajawai kupaa au kuleta jipya?

Ni wakati wa wewe kuandika ukweli ili akufaye kama hata unaakili hiyo ya kushauri maendeleo, maana naona una ile ya kumtukana yu Diamond na kutaka kumshusha chini na unaona anazidi kupaa.
Haya wahi tarehe mbili leo kacheki kama rent imelipwa kule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…