Elly_corner
Senior Member
- May 5, 2015
- 120
- 205
Ila hii video na wimbo Kama uliwahi kuwa YouTube una Kama mwaka,may be ilikuwa wameupload project ya zamani but ya mwaka hivi
Iyanya yes ameishaimba kihivyo kwenye mwimbo mmoja hit song fulani nimesahau jina. Na mie imenikumbushia huo bali video kila kitu tofauti.
Dayamondi kashindikana. Yule jamaa aliyeibiwa ashapata hela ya kununua vipya au tumchangie
Iyanya amekaa kama m beba magumia ya mchele he aint romantic n sex anymore
A talent is jus a talent no matter how many criticism and hate but the guy is still doing some good work..
Kazi nzuri sana hongera diamond hongera iyanya
Watch "Iyanya x Diamond - Nakupenda [Official Video]" on YouTube - https://youtu.be/GnH5_0qAcRM