M maggid JF-Expert Member Joined Dec 3, 2006 Posts 1,084 Reaction score 1,251 Jan 23, 2017 #1 Ndugu zangu, Januari 19 nilishiriki mjadala kwenye kipindi cha ' Kwa Undani' , Sauti ya Amerika. Mjengwablog imeandaa video iliyoingiza majibu yangu ( Maggid Mjengwa) kwa mwandishi Idd Ligongo wa VOA.
Ndugu zangu, Januari 19 nilishiriki mjadala kwenye kipindi cha ' Kwa Undani' , Sauti ya Amerika. Mjengwablog imeandaa video iliyoingiza majibu yangu ( Maggid Mjengwa) kwa mwandishi Idd Ligongo wa VOA.
comrade igwe JF-Expert Member Joined Jan 12, 2015 Posts 7,295 Reaction score 3,952 Jan 23, 2017 #2 Sawa angalau ameondoka kwa amani hivyo haina haja ya Ecowas kufanya operation yoyote mjini Banjul