The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,444
Cc mrangi King Kong III Lamomy adrizSalaam Members!
Huyu kijana ni nani?
Ningependa kujua mawili matatu kuhusu yeye maana siyo kwa jinsi anavyojieleza alivyofanikiwa chini ya SSH.
Vijana wengine kumbe tunasindikiza tu.
Hawa wapuuzi ndio wanaongeza chuki zisizo na lazimaSalaam Members!
Huyu kijana ni nani?
Ningependa kujua mawili matatu kuhusu yeye maana siyo kwa jinsi anavyojieleza alivyofanikiwa chini ya SSH.
Vijana wengine kumbe tunasindikiza tu.
ASije kukupora "Cc" ukaanza kulialia humu
Hawezi...ASije kukupora "Cc" ukaanza kulialia humu