Mmm alikuwa anatematema maji fulani nadhani itakuwa sumu
Kiumbe wa Baharini huyo Mkuu, hana shida mwache arudi majini kuendeleza Uzao wake.Chupu chupu aning'ate
View attachment 1473940
Huyu ni mdudu wa upako, anakaa Magomeni MapipaHakai kwenye maji mbona
NA PAKA HAKAI KWENYE MAJI ILA KWA SAMAKI ANAJIBOMOA SANA TUHakai kwenye maji mbona