GE2025 Video: "Hizo risasi hizo" Wananchi wakienda kumzika mwenzao aliyepigwa risasi na Polisi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Mazishi ya Mwananchi aliyeuawa kikatili kwa kupigwa risasi na polisi yamegeuka kuwa maandamano ya sauti na hisia.

Wananchi waimba “Hizo risasi hizo” wakieleza uchungu, hasira, na wito wa uwajibikaji kwa mamlaka.

Fikiria tu, kama Samia angesema jamani watu hawanikubali niachie ngazi, haya yote yasingetokea. Ubinafsi unaacha majonzi makubwa sana. Kwani ukijiuzulu ukae Kizimkazi si awa tu, utaishi vizuri na Mungu wako atakuangaza. Sasa utakaa na hizi damu hadi siku ile unavyoenda kaburini, na hujui huko Lucifer kakutayarishia nini. Dhambi ya kuua haifutiki, ni dhambi ya Mauti
 
Angalia nchi nyingi zenye machafuko africa, most of them zina pattern ya kufanana. Uongoz umeingia tamaa unataka kubaki kwenye madaraka

they are that greedy
 
Hii ngoma inazidi kupamba moto.
Facts.

Wametembeza jeneza la wahanga wenzao kama misiba ya Palestina

Dunia ikiona inakumbuka Middle East na ukandamizaji.

Wanaimba kuhusu risasi... wanaanza kuzoea zoea lugha ya risasi na kuzikana kwa kupigwa risasi....

Kama ambavyo wameanza kuzoea kukusanyika nje na kutembea huku wakiimba na kulaani serikali

Kutumia jeshi la polisi au la Usalama kuwashuti au kuwatisha au makatibu wenezi wa vijana wa CCM na ma DC na RC hailengi kwenye utatuzi wa the underlying grievance- mambo wanayoyasemea.
 
Back
Top Bottom