Video: Hivi kweli tunahitaji huu Mungano,Hivi kweli Wanasiasa wetu wana uwezo kisiasa

chabuso

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
6,380
5,879
Baada ya kusikiliza hii hotuba ya huyu mbunge,naona wanasiasa wetu wanatupeleke peleka tu tu,wanasiasa wetu hafuati mawazo na ushauri wa wataalamu

Naoana kuna madudu mengi katika hufufuzi wa hili shirika la ndege la Air Tanzania,Nafikiri wanasiasa wetu wanashindwa kufahamu Uchumi ndio siasa..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom