Wakuu hawa jamaa wanatupanga hapa au ni halisi?
- Tunachokijua
- Wadau wa JamiiCheck kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii kuthibitisha uhalisia wa video inayomuonesha mwanaume mmoja akitembea juu ya maji.
Wadau wengi wamebainisha kuwa kipande hicho cha video si halisi na badala yake kina uwezekano wa kuwa kimetengenezwa kwa teknolojia ya Akili Unde.
Ufuatiliaji wa JamiiCheck kupitia nyenzo za kidigitali za kubaini maudhui yaliyotengenezwa kwa AI, umebaini kuwa video hiyo imetengenezwa kwa Teknolojia ya Akili Unde.