KWELI Video hii imetengenezwa kwa Akili Unde

Taarifa hii imethibitika kuwa ya kweli baada ya kufanya tathmini ya kina
Your browser is not able to display this video.


​
 
Tunachokijua
Wadau wa JamiiCheck kutoka katika jukwaa la JamiiCheck.com na kurasa za mitandao za JamiiCheck wameshiriki kubainisha dosari zinazoonekana katika video iliyowasilishwa na mdau.

Ambapo wengi wamebainisha kuwa video hiyo si halisi na kuna uwezekano kuwa imetengenezwa kwa Teknolojia ya AKili Unde (AI) kutokana na sababu zilizotajwa ambazo haziakisi uhalisia wa mazingiraya kawaida.


Uhalisia wa video

JamiiCheck imefuatilia na kujiridhisha kuwa video hiyo imetengenezwa kwa teknolojia ya Akili Unde.

Licha ya mapungufu ynayoonekana katika video hiyo ikiwemo watu kufanya matendo yasiyo ya kawaida lakini pia nyenzo za kidigitali za kubaini maudhui yaliyotengenezwa kwa AI, yanabainisha kuwa maudhui hayo yametengenezwa kwa teknolojia hiyo.

Nyenzo ya Hive Moderation inaonesha kuwa Asilimia 99 za video hiyo imetengenezwa kwa teknolojia hiyo.

Yani kama umeshindwa kuona hiyo ni AI basi unashida za kiakili.

Hakuna jengo lina anguka namna hiyo.
 
Reactions: Lax
kipande hiki cha video kimetenegenzwa kwa kutumia teknolojia akili unde kwani video hiyo haina uhalisia wa kawaida ikiwa inaonesha jengo refu lililopinda kwa kiwango kikubwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…