VIDEO: Hatimaye, Nape aisambaratisha UKAWA Pemba...

Nilichofurahia kwa Nape ni pale alipowaambia hao jamaa kua kamwe UKAWA hawataingia kwenye Bunge la KATIBA wakati UKAWA wao walishasema kamwe hawatarudi kwenye bunge la katiba bungeni hapo awali kabla ya Nape kuwahutubia hao Wapemba.

Nape anahitaji kuombewa kwa nguvu za giza.
 
Baada ya kuona "sarakasi" za Kinana, Nauye, Wasira na "vigogo" wengine hapo Kibanda Maiti napata wasiwasi.

Hii rasimu ina "dhahabu" gani inayowatisha CCM kwenda kutoteshwa na mvua mchana kutwa?

Kwani ule mkutano wa UKAWA ulikua unahitaji "nguvu" yote hii? kwani CCM si tuliwasikia bungeni mlipobaki, kwa nini Kibanda Maiti???

Naanza kupata shaka, kuna mtu analinda "unga" usimwagike.

Sasa UKAWA wanakwenda mahakamani, je CCM watawafuata na huko pia?

Kwa upande wangu sioni sababu ya CCM "kujibu mapigo" kwa UKAWA, kwani tunaelewa msimamo wao ni serikali mbili. Kama mwananchi wa kawaida nahitaji kufahamu "kinaga ubaga" cha UKAWA kuondoka bungeni.

So, CCM bakizeni nguvu ya mwezi wa nane bunge la katiba likirudi. Si busara kuwafuata UKAWA kama "paka na mkia wake" kwani mwananchi "critical" lazima ajiulize, nini kilicho nyeti hivi mpaka CCM wapeleke "vigogo" kukipigania ilhali tumewaelewa toka bungeni?
 
Kwa ujumla UKAWA imewatikisa CCM, na sasa hawawezi repair the damage iliyokwisha kutokea. Wajiandae kupokea gharama ya kudharau maoni ya wananchi na ku-underestimate muungano wa UKAWA. Kwaujumla wamekwisha chelewa sana..
 
Nape hana mvuto tena mimi kaniboa sana.kakimbia mdahalo ITV leo akakimbilia kwenye msimamo wa chama ona sasa polepole na wajumbe walivyo mtesa Vuai.
 
Baada ya kuona "sarakasi" za Kinana, Nauye, Wasira na "vigogo" wengine hapo Kibanda Maiti napata wasiwasi.

Hii rasimu ina "dhahabu" gani inayowatisha CCM kwenda kutoteshwa na mvua mchana kutwa?

Kwani ule mkutano wa UKAWA ulikua unahitaji "nguvu" yote hii? kwani CCM si tuliwasikia bungeni mlipobaki, kwa nini Kibanda Maiti???

Naanza kupata shaka, kuna mtu analinda "unga" usimwagike.

Sasa UKAWA wanakwenda mahakamani, je CCM watawafuata na huko pia?

Kwa upande wangu sioni sababu ya CCM "kujibu mapigo" kwa UKAWA, kwani tunaelewa msimamo wao ni serikali mbili. Kama mwananchi wa kawaida nahitaji kufahamu "kinaga ubaga" cha UKAWA kuondoka bungeni.

So, CCM bakizeni nguvu ya mwezi wa nane bunge la katiba likirudi. Si busara kuwafuata UKAWA kama "paka na mkia wake" kwani mwananchi "critical" lazima ajiulize, nini kilicho nyeti hivi mpaka CCM wapeleke "vigogo" kukipigania ilhali tumewaelewa toka bungeni?

Rejea hutuba ya waziri mkuu pinda,ukawa wafanye mikutano nchi nzima na sisi tuna uwezo wa kujibu,ndicho kinachofanyika,tatizo kubwa akina mbowe wanadhani wao ndiyo wenye uwezo pekee wa kupiga mikutano ya hadhara kumbe hata ccm inaweza kufanya hivyo hali inavyokwenda itafika hatua ya kuheshimiana tu
 
Kuna msememo wa kiswhl usemao, "kimya kina mshindo mkuu" kama kweli ccm wanauhakika kuwa wananchi wanauhitaji wa wanachodhani wao (srkl 2) ? Yanini kupoteza nguvu nyingi na raslimali kushawishi watu kuwaunga kichwa (ingawa dafu) let them go on na u****zi wao.
 
Nape naye anatetea tumbo lake msimshangae jamani!🙁
 
Nape hana mvuto tena mimi kaniboa sana.kakimbia mdahalo ITV leo akakimbilia kwenye msimamo wa chama ona sasa polepole na wajumbe walivyo mtesa Vuai.

Yeye kazoea mipasho sasa serena kulikuwa na hoja tu.
 
Nape!Nape! Hivi Mbatia aliwahi kugombea kuwa Rais wa JMT? Hiyo ilikuwa mwaka gani?. Lakini mbona mnawashambulia watu binafsi kwenye mikutano yenu ya CCM.
CC😡Nape Nnauye ifweero,
 
Back
Top Bottom