ChekoFagia
Senior Member
- Sep 20, 2025
- 115
- 339
Hii ndiyo hali ya mitaa mbalimbali ya Manispaa ya Kahama kama unavyoona pichani.
Baadhi ya watu wameendelea na shughuli zao kama kawaida huku idadi kubwa ya biashara zikiwa zimefungwa, Vikosi vya ulinzi vimetanda kuimarisha usalama.