Video: Hali ilivyo Kisutu, Ulinzi umeendelea kuimarishwa

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,779
Ulinzi umeendelea kuimarishwa na Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kuzunguka makutano yote yanayoingilia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam ambako kuna kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu.

Katika kesi hiyo inayosikilizwa leo, waandishi wa habari wamepigwa marufuku kusogea mahakamani hapo.

Katika eneo hilo la Mahakama, polisi waliovaa sare na wasio na sare wapo ndani ya magari wakifanya doria huku wakiwa wameshikilia silaha mbalimbali zikiwamo bunduki na virungu.

Mahakamani hapa leo Jumatatu, Aprili 28, 2025 kesi ya kuchapisha taarifa za uongo mitandaoni inayomkabili Lissu itaendelea kunguruma, mawakili wa pande zote wanatarajiwa kuchuana kwa hoja, kuhusu kuendeshwa kwa njia ya mtandao.

Ulinzi huo ni sawa na uliokuwa Alhamisi ya Aprili 24, 2025 wakati kesi hiyo pamoja na ile ya uhaini zinazomkabili Lissu zilipoitwa kwa hatua mbalimbali.
Polisi walitanda maeneo ya Mahakama kuzuia wasohusika kuingia.
 
View attachment 3318505
Mitandao warriors mbona hawaonekani hapa Kisutu. Erythrocyte mko maeneo gani mbona hamuonekani Kisutu au mko online?
 
How about this shithole comment?
Aldolf Hitler yeye alipata kusema """KUNA WATU AMBAO AKILI ZAO HAZIFANYI KAZI SAWA SAWA NI JUKUMU WATU WENYE AKILI TIMAMU TUWASAIDIE WATU KAMA HAO KUWAFANYIA MAAMUZI"""

MTU KAMA WEWE TUMEWAELIMISHA TUMAWAONESHA MATUNDU MBALI MBALI YA TUME YA UCHAGUZI NA KUWA AMBIA KUNA HAJA YA KUFANYA REFORMS ILA NYINYI MNAJIFANYA KINA MBUNI & KASONGO YEYEEE.

WEWE NI 阴道

阴道阴道 Wewe na familia yako wotee na ukoo wenu wotee.
 
Sasa umeandika sijui Kichina au Kijapan sasa mimi nitajuaje kama umenitukana ama la!?
 
Wenyewe wameshazoea Online lakini nyumbu wanalalamika bundle. imhotep anaomba kampuni za simu watoe bundle free 🤣🤣
Hii nchi ina watu wana mdomo tu ukiwasikiliza imekula kwako, ile mikwala iliyotolewa kabla ya kesi sasahivi hadi yule aliyewaita mabalozi hatumsikii tena 😆😆😆 kazi kuwachuza wenzao tu wakapigwe
 
  • Kicheko
Reactions: UCD
Polisi wa Bangladesh walipoambiwa pigeni Wananchi.
 
Wenyewe wameshazoea Online lakini nyumbu wanalalamika bundle. imhotep anaomba kampuni za simu watoe bundle free 🤣🤣
Mimi uwezo ninao lakini nasemea Wananchi walio wengi. I'm not selfish.
 
Mitandao warriors mbona hawaonekani hapa Kisutu. Erythrocyte mko maeneo gani mbona hamuonekani Kisutu au mko online?
Unajaribu kuwaza uchi wa mwanamke uliopitisha kichwa hiki ulikuwaje , unandika ujinga mkubwa kiasi hiki mitandaoni je huko uliko
 
Kuna uzi mwembamba sana unaotenganisha 👮 wa nchi hii na huyu kiumbe 🐕‍🦺
Narudia tena! Kuna uzi mwembamba sana unaowatenganisha hao viumbe hai wawili.
 
Unajaribu kuwaza uchi wa mwanamke uliopitisha kichwa hiki ulikuwaje , unandika ujinga mkubwa kiasi hiki mitandaoni je huko uliko
Wewe ni shithole tu kama mashithole wengine wa Chadema naona akili yako huwa inawaza tu uchi wa mama yako ulikopita ndio maana unaandika ujinga hapa badala ya kujibu hoja.
 
Back
Top Bottom