Video Games

Mwamba028

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
4,651
Reaction score
3,822
Mimi ni mpenzi wa Video gamez, haswa za kucheza kwenye pc

Kwa mweye video gamez km GTA SA, COD MW3 au nyingine yoyote ya Action ambayo ni kali naomba anipatie, ili nipuguze punguze mawazo kimtindo, Niko Dar
 
then hv GTA 5 imetoka? naihitaj sana, na GTA San Andreas
 
Ngoja waje wenzio wa magorofani, uhindini, uzunguni, na mujini, wale wa ileje, isyesye, ilembula, wakarusa, mbozi hapawahusu hapa
 
Hahah Mkuu Bufa wote wanakaribishwa, hata wa ilembula,mbozi,laela,isanga,nkangamo,kyela,tukuyu,ileje,ipinda,nk
 
Last edited by a moderator:
Mwamba028 , Bufa
mnawatenga wa Ilomba , Sai, Forenst mpya, MAMA JONI, uyole,

hebu nitajieni hili ni gem gani fastaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Mwamba028 , Bufa
mnawatenga wa Ilomba , Sai, Forenst mpya, MAMA JONI, uyole,

hebu nitajieni hili ni gem gani fastaaaaa

Mkuu 2ko pamoja wote hao,,hilo game cjalijua asee,,vp unalo?
 
Last edited by a moderator:
Ngoja waje wenzio wa magorofani, uhindini, uzunguni, na mujini, wale wa ileje, isyesye, ilembula, wakarusa, mbozi hapawahusu hapa

sema hapakuhusu wewe kwa sababu hujui chochote kuhusu video games.
 
Mwamba028 , Bufa
mnawatenga wa Ilomba , Sai, Forenst mpya, MAMA JONI, uyole,

hebu nitajieni hili ni gem gani fastaaaaa

Deus Ex, :thumbsup: ol the way. Droid ilikua inachemka daily cuz of this thing.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…