Daah nimeweza gundua tatizo ni kwamba hizi TV za kichina zina create file jingine ndani ya Flash!
mfano ukiweka wimbo katika Flash Akon- Don't Matter TV nayo ina create file jingine liniatwa ._Akon-Dont Matter
Sasa kama flash ina MP4 lets say 200 basi ujue top on the list zitakuepo hizo Junk files hivo inabidi u scroll kutafuta mafile original ndo itacheza
Ni usumbufu lakini utafanye je