MfalmewaKiha
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 1,191
- 1,247
Nyie ndio mnaoandika "Jionee hapa live kifo cha morisoni" afa huku aking'ata meno na cheko la zari the boss lady/Nadia mukami??? Haki nikipewa mamlaka watu wakuanza nao ni hawa wanaodanganya mitandaonHabari zenu Wakuu,binafsi sina mengi zaidi.
Mimi ni youtuber nahitaji mtu wakunitengenezea Intro Kwa ajili ya vipindi vyangu,km yupo nicheck inbox.Asante
Channel yangu inaitwa (Pharmacy Yetu)ila zamani ilikua inaitwa Ayo Africa &Kikeke,ila uki search sasa hivi tumia pharmacy YetuChannel yako inaitwaje...
Mimi ni youtuber pia...naweza kufanya video editing pia..
Natumie Da vinci resolve
Asante kwa Ushauri wako,Sasa ntawapataje hao ulio watajaKama ni intro hapo unaitaji Motion Graphics designer na sio video editor
Nakupataje broChannel yako inaitwaje...
Mimi ni youtuber pia...naweza kufanya video editing pia..
Natumie Da vinci resolve
fungua uzi😂🤣😂Asante kwa Ushauri wako,Sasa ntawapataje hao ulio wataja