Video Editing (Davinci Resolve)

Joined
Sep 23, 2022
Posts
28
Reaction score
26
Nahitaji kujifunza kuhusu mambo ya video editing, na nataman nipate mtu au watu ambao watakuwa kama waalimu wangu katika kunisimamia ili kufanikisha lengo langu. Aksanteni
 
Youtube inakuhusu mkuu, usidanganywe kuna mtu atakufundisha vizuri kuliko youtube. Tena Davinci resolve wengi hapa TZ, wengi hawaitumii so no option youtube au u purchase course huko Udemy
 
Youtube inakuhusu mkuu, usidanganywe kuna mtu atakufundisha vizuri kuliko youtube. Tena Davinci resolve wengi hapa TZ, wengi hawaitumii so no option youtube au u purchase course huko Udemy
Kwn hapa TZ ipi inatumiwa sana ?
 
Ingia youtube kaandike "davinci resolve tutorial". Acha uvivu.
Lengo langu n kufahamiana zaidi na watu wanaofanya hili suala la Video editing. Na sio kutafuta mtu wa kunifundisha, sunajua tena kuwafahamu watu wanaofanya kitu ambacho naww unapenda kukifanya inakuwa vizuri zaidi kwasababu mnaweza hata kupeana ushauri katika kitu mnachofanya.
 
Ilala, Dar es salaam
Sema hapo kwenye kunifundisha naona itakuwa changamoto kwasababu mim huwa naenda chuo asubuh alafu narudi usiku. Mida ya usiku ndo huwa nafanya mazoez ya editing taratibu. Na pia cjui ratiba zako zpo vipi.

Npatie namba yako ya watsup
 
Sema hapo kwenye kunifundisha naona itakuwa changamoto kwasababu mim huwa naenda chuo asubuh alafu narudi usiku. Mida ya usiku ndo huwa nafanya mazoez ya editing taratibu. Na pia cjui ratiba zako zpo vipi.

Npatie namba yako ya watsup
0686724390
 
Kujifunza mambo ya video editing ni hatua nzuri katika kujifunza ujuzi mpya na kuendeleza ujuzi wa kazi. Kuna chaguzi mbalimbali za kupata msaada wa kujifunza video editing, ikiwa ni pamoja na:

1. Kujifunza kupitia mtandao: Kuna vyanzo mbalimbali kwenye mtandao ambavyo vinaweza kukusaidia kujifunza video editing. Kuna video mbalimbali za mafunzo kwenye YouTube, udemy, Coursera na kadhalika. Unaweza kutafuta video hizo na kuanza kujifunza kwa kufuata hatua kwa hatua.

2. Kujiunga na madarasa ya mtandaoni: Kuna madarasa mbalimbali ya mtandaoni ambayo yanapatikana kwa malipo ambayo yanaweza kukusaidia kujifunza video editing. Unaweza kujiunga na madarasa haya na kujifunza kutoka kwa wataalamu wa kazi.

3. Kujiunga na vikundi vya kujifunza: Kuna vikundi mbalimbali vya kujifunza video editing kwenye mitandao ya kijamii kama vile Facebook na LinkedIn. Unaweza kujiunga na vikundi hivi na kujifunza kutoka kwa wataalamu na watu wengine ambao wanajifunza kama wewe.

4. Kuajiri mwalimu binafsi: Unaweza kuajiri mwalimu binafsi ambaye atakusaidia kujifunza video editing. Unaweza kutafuta mwalimu kupitia mitandao ya kijamii au kwenye tovuti za kazi kama Upwork na Freelancer.

Kumbuka, kujifunza video editing inahitaji uvumilivu na mazoezi mengi. Unahitaji kujifunza ujuzi wa kimsingi kwanza kabla ya kujaribu kufanya kazi ngumu. Pia, hakikisha unatumia programu ya video editing ambayo inafaa kwa mahitaji yako, na kufuata miongozo ya kujifunza kwa uangalifu.
 
Shukrani sana kwa ushauri wako. πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…