Video clips za Baikoko zimeniponza leo

Video clips za Baikoko zimeniponza leo

Tellurium

Senior Member
Joined
May 30, 2019
Posts
131
Reaction score
154
Habari zenu wana MMU


Bila kupoteza muda ni kwamba nimejikuta naingia kwenye mgogoro na demu wangu kisa video za baikoko.

Tatizo lilianza baada ya demu wangu leo alipong'ang'ania nimtajie password ya vault yangu,Basi mimi nikajisemea moyoni mtoto akililia wembe mpatie umkate! Nikampatia password alichokutana nacho huko ni video za hatari za wanawake wenye misambwanda yao wakimwaga radhi aka wakikata mauno,video za nick minaj

Sasa tangu aone video hizo hataki mawasiliano na mimi akidai haniamini tena!!

Nawasilisha
Tellurium
 
Hebu zitupie hizo video kama ushahidi, ili tujue kama kweli zina "VIASHIRIA" vya kusababisha ugomvi katika mahusiano yenu, au demu wako alikua anakutafutia sababu.

Kesi kama hizi hua haziendeshwi bila ushahidi wa kidigitali.
 
Back
Top Bottom