Video: Bunge la Afrika Kusini ni mwendo wa ngumi kwa kwenda mbele

Bunge la south zuri kias kwamba nime subscribe kwenye channel ya SABC digital
Huwa nalicheki live yaani ni entertining sana hao jamaa, EFF ya kina Malema, Ndlozi, Hlope na Shivambu hahahaa, almist everyday lazima wafanye vituko.
Though wana uchungu sana na nchi yao hao jamaa
 
Sasa bunge letu la gizani vitu vidogo wanatufichaficha kwa jinsi mamlaka ilivyo na unafiki.

Sasa hivi wameamia kwenye online tv wanaanza kuwapiga ban akina millard,global nk bla sababu zisizo na kichwa wala miguu.
 
S
Waafrika tuna safari ndefu sana
Siyo Afrika tu mkuu hata huko kwa wenzetu hata UK ilitokea lakini wema wenzetu wamebadilika lakini Ulaya mashariki mpaka bunduki watu wanataka kutumia ni vita ya kweli siyo maneno....11th April 1923
The Government attempted to push through a motion that had been defeated the day before, to do with employment of ex-servicemen from WW1. The Opposition refused to let the debate proceed without a change in Government policy on ex-servicemen, and a fight broke out.
4th March 1975
Nigel Lawson MP hit Clinton Davis MP with his Order Paper during a heated debate over government subsidies to motorcycle manufacturer Norton Villiers Triumph.

Ninachojua mimi sasa hivi mbunge wa UK akinyanyua mkono kumpiga mwenzake nadhani huo utakuwa mwisho wa ubunge na itakuwa suicide
 
Bunge la south zuri kias kwamba nime subscribe kwenye channel ya SABC digital
Huwa nalicheki live yaani ni entertining sana hao jamaa, EFF ya kina Malema, Ndlozi, Hlope na Shivambu hahahaa, almist everyday lazima wafanye vituko.
Though wana uchungu sana na nchi yao hao jamaa
Hata mm nawapenda sana na c mara moja Zuma anafukuzwaga bungeni,wale wenzetu wanajitambua bwana
 
Hiyo ndio SONA2017(State of National Address 2017), EFF wanapinga Zuma kuwahutubia wakidai hana sifa tena za kuwa rais kwasababu ya upiga dili wake. Hii itakuwa mara ya 3 kwa EFF kugoma kuhutubiwa na Zuma. Chakufurahisha wanaingia bungeni, wapiga kelele, wanaamrishwa kutoka-hawatoki mpaka watolewe kwa ngumi kama hivyo.
 
Hata mm nawapenda sana na c mara moja Zuma anafukuzwaga bungeni,wale wenzetu wanajitambua bwana
Ila pamoja na vurgu zote zilizo tokea jana
Wenzetu bado bunge lina uhuru na wapinzani huruhusiwa kuongea chochote, hata kama unyanyasaji upo ni mdogo sana.
Sasa mara nyingi Zuma akienda bungeni huwa napenda kuangalia maana inakuwaga kama movie ya ki siasa hivi hahaha
 
Waafrika tuna safari ndefu sana
Hahaha
Ungeangalia nchi nyingine tena ungesema Afrika ni wastaarabu sana bungeni.
Nenda mabunge ya Ugiriki, Uturuki na nchi za ulaya mashariki yaani ni kawaida kabisa kukuta wabunge wana pigana, tena wao kwa wao.
 
Kumbe mi nilijua bunge ni chombo cha heshima lakini watu wamepageuza kuwa uwanja wa miereka.
 
wewe ukiamin kile mimi siamin diplomasia ikishindwa kaz bora tuzipange tu hakuna namna
 
Back
Top Bottom