Naombeni sana msaada kwa mods
Nisaidieni kuiweka vizuri video hii ili na kwa wale watumiaji wa simu waweze kuitazama video hii vizuri
Wamtazame bibi huyu aliyoyanena kwa taifa akiwahusia wana wa Tanzania
Video ipo hapa chini
https://vimeo.com/139148688
Cc Moderator Invisible
"Hatuna amani tuna uvumilivu...
pata kesi au uugue ndio utajua uzuri wa ccm
Huyo lowassa kwani mzungu anakuja kugombea......
watakao leta vurugu ni hao wenye silaha.
Unaogopa kufa kwani utaishi milele..........
sisi ndio tunaijua ccm tangu TAA TANU sasa CCM.........." maneno ya bibi Mungu akupe maisha marefu natamani nije kwako unipe historia ya hii nchi.
USHAURI: Huyu bibi ni Asset kwa Taifa letu kwani Kapigania UHURUna sasa basi anapigania MABADILIKO (Kinyume kabisa na alivyotuambia Mkapa pale Jangwani). Badala ya kufurahia tu hicho alichokisema kwenye hio video, basi kuna umuhimu wa kuanza kumtambua kama ni nembo Ya Mabadiliko. Ningeshauri huyu bibi akawekewa 'ulinzi' kabla ya Usalama wa Taifa hawajamchuna ngozi! Pia kuna haja ya kuanzisha "crowd funding" kwa jina la huyu mama na naamini kabisa wenzetu Diaspora watatuunga mkono kwa hili .
"Hatuna amani tuna uvumilivu...
pata kesi au uugue ndio utajua uzuri wa ccm
Huyo lowassa kwani mzungu anakuja kugombea......
watakao leta vurugu ni hao wenye silaha.
Unaogopa kufa kwani utaishi milele..........
sisi ndio tunaijua ccm tangu TAA TANU sasa CCM.........." maneno ya bibi Mungu akupe maisha marefu natamani nije kwako unipe historia ya hii nchi.
Ukisikiliza hiyo lafudhi ya huyo bibi na huyo anayemhoji utajua ni watu wa wapi.
Anatoka ule mkoa ambao watu wake ni wagum sana kuwadanganya kuwa 2+2=20 kama wale wa unapotokea!Ukisikiliza hiyo lafudhi ya huyo bibi na huyo anayemhoji utajua ni watu wa wapi.