Ni kweli Mkuu MUNGU ATULINDE TUNi siasa tupu mkuu, zamani walilazimisha kila bus kuwa na hizo namba, zilidumu kwa muda fulani zikaondolewa, nadhani Traffic police nao walichoka kupigiwapigiwa simu, nilishangaa kuna magango ya SUMATRA kwenye hayo mabasi lakini hayana namba yoyote, utasema kuna mamlaka na watendaji hapo!?
Fuso ya Kapricon mkuukiazi kitamu hana mbavu huyo anapigwa mpaka na Kapricon
Speed ni moja ya chanzo cha ajali... popote duniani. Nazungumzia utafiti uliokwishafanywa na siyo kama najisemea. Na mbaya zaidi speed hufanya matokea ya ajali yawe mabaya zaidi. Kujua vyanzo vya ajali wala siyo maswali magumu kama wewe unavyodhani. Kuna tafiti nyingi zilishafanywa kuhusu ajali za barabarani duniani kote na Tanzania ikiwemo. BTW naona kusema niko ughaibuni umeona kama najidai mpaka ukafikia hatua ya kuongopa uko Sydney! Mimi sikudanganyi ndugu nipo Europe na wala siyo kitu cha kujivunia.Aksante kwa kutuambia uko ughaibuni ndio maana unatukana watu wengine kuwa vichwa vyao vimefyatu. Uko ughaibuni wapi mkuu?? Miye pia nipo ughaibuni. Sydney na sio kwamba natembea kwa miguu ila nimeuliza tu kuwa huko nyumbani mbona ajali ndio zimeongezeka zaidi baada ya tochi?? Mbona tumeongeza kipato cha faini za mwendo kasi yaani kwa kuwapiga faini wenye mwendo kasi?? Je, hizo faini ndizo huleteleza ajali hizi??
Tutafute sababu haswa wala tusikimbilie zaidi mwendo kasi. Tusitoa majibu mepesi kwenye maswali magumu. Tusikubali kupumzika kufanya utafiti zaidi kwa janga hili.
Kweli aisee mwenyew nimeshangaa leo rabi kutamba ila service zao mbovu sana ndio chanzo cha hayo mabasi kuchokaWakati Mghamba ana Marcopolo zake kadhaa na scania nyingine 3 moja imeandikwa Mississippi ya pili Sauti ya Kamanda na Brigedia. Ilikuwa ni balaa kwa hiyo route, ilifikia hatua hiyo kampuni ikafungiwa. Ila kwa sasa hayo mabasi yameishachoka ndo sababu ya Ahsante Rabi kuwika
Speed ni moja ya chanzo cha ajali... popote duniani. Nazungumzia utafiti uliokwishafanywa na siyo kama najisemea. Na mbaya zaidi speed hufanya matokea ya ajali yawe mabaya zaidi. Kujua vyanzo vya ajali wala siyo maswali magumu kama wewe unavyodhani. Kuna tafiti nyingi zilishafanywa kuhusu ajali za barabarani duniani kote na Tanzania ikiwemo. BTW naona kusema niko ughaibuni umeona kama najidai mpaka ukafikia hatua ya kuongopa uko Sydney! Mimi sikudanganyi ndugu nipo Europe na wala siyo kitu cha kujivunia.
Moja wapo ya sababu kuu.. Na speed kubwa pia inatofautiana na sehemu.. Unaweza kuna unakimbia 50 wakati unatakiwa ukimbie 10.Nani kakuambia kuwa Speed kali huua?? Tafuteni sababu ya ajali nyingi kutokea Iringa na Mbeya wala sio mwendo mkali. Watu mmekuwa mkitoa majibu mepesi mepesi sana kwa maswali magumu nyiye.
Hakuna kipindi kumewekwa tochi za barabarani ka awamu hii lakini pia hakuna kipinda au awamu iliyojaa ajali kubwa kubwa ka hii. Tujiulize; Kwa nini?? Je, tochi zinaongeza ajali??
Watu wanaendesha polepole na wanapiga nyama chini speed ya kawaida tu mbona hiyoHuu si ushabiki mzuri maana hapo inaonesha 120-140
Wewe unataka tulale barabarani nn kwenu karibueMbona tumeambiwa mabasi yote yamefungwa ving'amuzi kiasi kwamba waki overspeed inawanasa makao makuu, je ina maana huyu amekichezea hicho kifaa?
Kweli mkuuSpeed ya kawaida sana hiyo..binafsi napenda sana madereva wanao mwaga moto...chombo itembee ndio raha ya safari..kuhusu ajali ni popote tu..ukiwa na imani utajua kama kifo hakikimbiwi..haimaanishi kwenda mdogo mdogo ndio hutakufa..ila tahadhari muhimu.
Mbio za langa langa, namuona marcos Alonzo na team ferrari inaongozaaaa
Lakini kwa ukaribu Michael Schumacher anakaribia......
Napenda sana kucheki
Dereva katulia na anatoka kwa akili na ajali nyingine hawajui zinasababiswa na mwendo mdogo vile vile.. na anaeonge kiuwoga hajui ugumu wa kuendesha gari speed 50 kwenye barabara ya Highway ..kama umetulia na huna mausingizi ya kifala lazima utembee kwa kujiamini na utakiluwa poa roading kama kawaida.. mimi nishatembea sana na kitu nachoogopaga ni kuendesha gari nikiwa nimekunywa pombe au uvhovu wa usingizi.. kinyume na hapo kibati tu *****Aksante sana kwa mawazo mazuri kihivyo. Sikujua kuwa hata machizi huchangia humu JF. Huo upuuzi ulisomwa na mpuuzi na swinw ndo maana huyo mpuuzi na swine akaufurahia vilivyo. Hongera swine
Basi zote nchi nzima zimefungwa ving'amuzi hakuna inayozidi speed 85km/h.....so hizo ni mbwembwe tuu ndo maana unaona relative velocity ni ndogo sana......Hizi basi sa hivi hazina speed kali. Haizidi 100kph