VIDEO: Basi la Asante Rabi Express likitoa Kichapo kikali kwa Wapinzani wake

Wanasema hii ndio Nguvu ya SCANIA yaani weka mbali na watoto, Huyu mnyama anaitwa Asante Rabi Express, Anatumia Engine ya Sweeden kule, wanaiita Scania, hapa ukiwaleta Zohntong climber, Higher, Golden Dragon ni lazima wakae

Hapa ndio katisha



Akifanya yake tena



Hapa akimpa kichapo kikali Magamba Brigedia Express



Huyu jamaa wanakwambia sio mtu wa mchezo mchezo , huyu hapa tena



Video kwa Hisani ya wasafiri Tanzania

Spidi kubwa ni hatari kwa Usalama wako, Endesha kistaharabu
unasaidia upelelezi kama kesi ya mbuzi kwenye namba su ikipeleka xmass
 
Hiyo Video ni muda mrefu tangu kipindi kile hakuna habari za ving'amuzi,
Ahsante Rabi ya Sasa wala si moto tena
 
Sijawahi ona mtu mjinga kama wewe siku zote watu wanaenda kuhusu mwendo kasi unaua cha ajabu leo mwenzetu unashangilia!!
 
Nilitamani siku moja waoneshane umwamba na Kisbo.

Kisbo hii ya Dar- Mwanza pamoja na Asante Rabi ya Mwanza - Arusha.

Sijui tuwakutanishe vipi!!
Tuwapambanishe kutoka nyegezi hadi usagara hahahaaaa
MWANZA TO DAR KISBO
MWANZA TO ARUSHA ASANTE RABI
miaka ya nyuma mwanza arusha alikuwa mfale wa lami ni Bregedia Mghamba.
 
sijajua jamaa kafikiria nini,ila utaisikia tu hii imeitika ndani ya wiki hiyo ya kesho siku za kazi.

Itakuwa msala kama yule jamaa wa SU aliyemfunga mbuzi nyuma ya spare tyre.

Bora angekuwa anaonyesha na upande wa dashboard speed metre ionekane inasoma 80 au chini angemsaidia dereva.harafu mrekodi video anamzonga dereva,mara piga honi mara ananyooshea watu vidore,natabiri msala kwa hili gari.
 
Wanasema hii ndio Nguvu ya SCANIA yaani weka mbali na watoto, Huyu mnyama anaitwa Asante Rabi Express, Anatumia Engine ya Sweeden kule, wanaiita Scania, hapa ukiwaleta Zohntong climber, Higher, Golden Dragon ni lazima wakae

Hapa ndio katisha



Akifanya yake tena



Hapa akimpa kichapo kikali Magamba Brigedia Express



Huyu jamaa wanakwambia sio mtu wa mchezo mchezo , huyu hapa tena



Video kwa Hisani ya wasafiri Tanzania

Spidi kubwa ni hatari kwa Usalama wako, Endesha kistaharabu

Mmajichomesha wenyewe polisi, lazima mfuatwe hapa.
 
Nani kakuambia kuwa Speed kali huua?? Tafuteni sababu ya ajali nyingi kutokea Iringa na Mbeya wala sio mwendo mkali. Watu mmekuwa mkitoa majibu mepesi mepesi sana kwa maswali magumu nyiye.
Hakuna kipindi kumewekwa tochi za barabarani ka awamu hii lakini pia hakuna kipinda au awamu iliyojaa ajali kubwa kubwa ka hii. Tujiulize; Kwa nini?? Je, tochi zinaongeza ajali??
Ajari zinazotokea gari ikiwa kwenye spidi kali mara nyingi madhara yake huwa makubwa kuliko gari inayokuwa na spidi ndogo.
 
Ajari zinazotokea gari ikiwa kwenye spidi kali mara nyingi madhara yake huwa makubwa kuliko gari inayokuwa na spidi ndogo.
Huko ughaibuni kuna barabara zinaitwa Inter state High way..speed ya kule ni 140 + chini ya hapo ni fine tena kubwa tu. Je huko mbona hizo ajali kubwa kubwa hazitokei?? Nasema, waambieni hao wahusika wafanye utafiti kujua ni nini husababisha hizi ajali. Msidhani speed tu ndiyo chanzo. Labda ubpvu wa magari, uchakavu wa magari na ifanyike nini kuhusu hilo. Msing'ang'anie speed tu. Yapo mengi, Je barabara zipo sawa?? Unakuta barabara nyingine finyu kama zile za mkoloni kulipokuwa na magari 4 kwa wiki.
 
Ungemwambia dereva aweke ule wimbo wa darasa kisha aanze kukatika huku kaachia usukani. Kama maji msingeita mma. Ubwabwa mtaita uwawa. Kipindi hicho mko Moi meno yote hakunaga
 
kuna kitu cha Mghamba kinaitwa Pata kitu cha Arusha ni shida saana
Wakati Mghamba ana Marcopolo zake kadhaa na scania nyingine 3 moja imeandikwa Mississippi ya pili Sauti ya Kamanda na Brigedia. Ilikuwa ni balaa kwa hiyo route, ilifikia hatua hiyo kampuni ikafungiwa. Ila kwa sasa hayo mabasi yameishachoka ndo sababu ya Ahsante Rabi kuwika
 
Back
Top Bottom