VIDEO: Basi la Asante Rabi Express likitoa Kichapo kikali kwa Wapinzani wake

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,145
11,184
Wanasema hii ndio Nguvu ya SCANIA yaani weka mbali na watoto, Huyu mnyama anaitwa Asante Rabi Express, Anatumia Engine ya Sweeden kule, wanaiita Scania, hapa ukiwaleta Zohntong climber, Higher, Golden Dragon ni lazima wakae

Hapa ndio katisha

Akifanya yake tena

Hapa akimpa kichapo kikali Magamba Brigedia Express

Huyu jamaa wanakwambia sio mtu wa mchezo mchezo , huyu hapa tena

Video kwa Hisani ya wasafiri Tanzania

Spidi kubwa ni hatari kwa Usalama wako, Endesha kistaharabu
 
Ingekuwa vizuri pia ukatuonyesha speed aliyokuwa anakimbia nayo, Huyo Dereva ajue kuwa amepakia watu sio matenga ya nyanya.

Umemuona mjanja kuona huyo dereva anavyoenda speed? unafurahia kifo?

Arrive alive Speed Kills
Mkuu vipi huoni uzi hapo chini Nimetoa onyo
 
Hukuwa na namba za "ZUIA MWENDO KASI" Uwapigie?
 
Ingekuwa vizuri pia ukatuonyesha speed aliyokuwa anakimbia nayo, Huyo Dereva ajue kuwa amepakia watu sio matenga ya nyanya.

Umemuona mjanja kuona huyo dereva anavyoenda speed? unafurahia kifo?

Arrive alive Speed Kills
Hizi basi sa hivi hazina speed kali. Haizidi 100kph
 
Nani kakuambia kuwa Speed kali huua?? Tafuteni sababu ya ajali nyingi kutokea Iringa na Mbeya wala sio mwendo mkali. Watu mmekuwa mkitoa majibu mepesi mepesi sana kwa maswali magumu nyiye.
Hakuna kipindi kumewekwa tochi za barabarani ka awamu hii lakini pia hakuna kipinda au awamu iliyojaa ajali kubwa kubwa ka hii. Tujiulize; Kwa nini?? Je, tochi zinaongeza ajali??
 
Mpuuzi Mkubwa wewe, akili zimejaa makamasi. Shwaini wewe
 
Aksante sana kwa mawazo mazuri kihivyo. Sikujua kuwa hata machizi huchangia humu JF. Huo upuuzi ulisomwa na mpuuzi na swinw ndo maana huyo mpuuzi na swine akaufurahia vilivyo. Hongera swine
 
Nani kakuambia kuwa Speed kali huua?? Tafuteni sababu ya ajali nyingi kutokea Iringa na Mbeya wala sio mwendo mkali. Watu mmekuwa mkitoa majibu mepesi mepesi sana kwa maswali magumu nyiye.
Hakuna kipindi kumewekwa tochi za barabarani ka awamu hii lakini pia hakuna kipinda au awamu iliyojaa ajali kubwa kubwa ka hii. Tujiulize; Kwa nini?? Je, tochi zinaongeza ajali??
Hahaha waambie
 
Back
Top Bottom