VIDEO: Askofu Josephat Gwajima wa kanisa la GCTC - Ufufuo na Uzima kuzungumza na Watanzania ktk Mkesha wa mwaka mpya

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
3,611
Reaction score
9,269

View: https://youtu.be/DQve6MgYYtU?si=gSHWEMj76INC8rxZ
Hatimaye tutamuona tena....!!

Baba Mungu wa mbinguni katika Yesu Kristo kampa Green Light ya kutoka na kuzungumza tena na Watanzania na ulimwengu baada ya kuwa ktk faragha ya pekee na Mungu Yehova kwa takribani miezi mitatu tangu tarehe 26/10/2025 alipoonekana kwa mara ya mwisho....

Ni Askofu Josephat M. Gwajima.

Atakuwa na Neno la kuongea na wana wa Mungu na Watanzania katika mkesha wa mwaka mpya tarehe 31/12/2025 kuanzia saa 2:00 Kanisa Kuu, GCTC - UFUFUO NA UZIMA CATHEDRAL - DSM

Atazungumza kuhusu yatakayoipata Tanzania (Tanganyika) kwa mwaka mpya wa 2026 unaoanza 1/1/2026 kama ambavyo Yakobo aliwaita wanae 12 na kuzungumza nao kuhusu yatakayompata kila mmoja siku zao za mbeleni.

Wote mnakaribishwa kanisa. Na watakaofuatilia kwenye mitandaoni KARIBUNI NYOTE..!
 
Kawa kimya sana.

Hivi alitoa hata neno lolote kuhusu mauaji?
Screenshot_20251230-180346.png
 
WE CAN'T BE MANUPULATED ANYMORE

AJIKITE KUPAMBANIA SADAKA TAIFA LINAONGOZWA KWA AKILI NA MIKAKATI ENDELEVU NA SIO KUZUA TAHARUKI.
 
Hawa nao wanatupa matumaini hewa tu, tumechoka.
Bora tu watuache.
Mungu mwenyewe atuamulie maana yeye pekee ndiye mwenye HAKI.
 
View: https://youtu.be/DQve6MgYYtU?si=gSHWEMj76INC8rxZ
Hatimaye tutamuona tena....!!

Baba Mungu wa mbinguni katika Yesu Kristo kampa Green Light ya kutoka na kuzungumza tena na Watanzania na ulimwengu baada ya kuwa ktk faragha ya pekee na Mungu Yehova kwa takribani miezi mitatu tangu tarehe 26/10/2025 alipoonekana kwa mara ya mwisho....

Ni Askofu Josephat M. Gwajima.

Atakuwa na Neno la kuongea na wana wa Mungu na Watanzania katika mkesha wa mwaka mpya tarehe 31/12/2025 kuanzia saa 2:00 Kanisa Kuu, GCTC - UFUFUO NA UZIMA CATHEDRAL - DSM

Atazungumza kuhusu yatakayoipata Tanzania (Tanganyika) kwa mwaka mpya wa 2026 unaoanza 1/1/2026 kama ambavyo Yakobo aliwaita wanae 12 na kuzungumza nao kuhusu yatakayompata kila mmoja siku zao za mbeleni.

Wote mnakaribishwa kanisa. Na watakaofuatilia kwenye mitandaoni KARIBUNI NYOTE..!

Jasusi la Mbinguni
 
Back
Top Bottom