Nawakumbusha tu kwamba mazoezi ni muhimu sana. Mtu mwenye afya njema na utimamu wa mwili huwa na nguvu, stamina na uwezo wa kujilinda zaidi. Ni vigumu sana kupelekeshwa au kuvutwa-vutwa kirahisi na polisi bila yeye kuwa na uwezo wa kujitetea.
Tujenge afya zetu mapema—mazoezi si kwa ajili ya mwonekano pekee, bali pia kwa ajili ya nguvu, afya na uimara wa mwili.