Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,093
- 9,261
Tuletee na video ya mauaji ya watu hasa waafrika na wale waliouawa na waarabu kwenye mashamba huko Zanzibar. Hii itatusaidia kupata ulinganifu wa hoja na matukio ili kuondoa dhana na dhima yoyote ya upendeleo au kutoa huku kwa kuangalia upande mmoja. Ni ajabu kidogo kukuta Al Jazeera wakirusha video ya mauaji ya waarabu Zanzibar lakini Al Jazeera hao wasitafute mikanda ya mauaji ya waswahili. Je ni kwa sababu Al Jazeera inamilkiwa na waarabu ambao wengi wao mababu zao waliwauza utumwani mababu zetu kwa wazungu.
Siku Wazanzibar waakijitenga na waarabu wakarudi,Wazanzibar watajuta kuzaliwa.
aiseeeeHakuna waafrika walouliwa na waarabu huko Zanzibar ndio maana huwezi kupata video yake. Kwa mujibu wa takwimu za CIA, kati ya watu 15,000 hadi 20,000 waliuwawa kwa kuchinjwa, kutiwa moto, kuzamishwa baharini na kupigwa risasi katika wiki za mwanzo za mapinduzi ya Zanzibar. Ukitaka maelezo zaidi ingia kwenye tovuti ya CIA na tafuta Zanzibar Revolution.
Ila naona kama imetengenezwa. Labda wajuzi watatufahamisha ukweli wa hizo picha