Watu nane wafariki dunia na wengine wane kujeruhiwa katika ajali ya gari aina ya Noah iliyokuwa ikitokea Shinyanga kuelekea Mwanza.
Ajali hiyo imetokea jana jioni Wilayani Misungwi Mkoani Mwanza ambapo mashuhuda wa ajali hiyo wamedai chanzo chake ni mwendo kasi wa Dereva uliomfanya ashindwe kuimudu gari wakati akikwepana na lori.
Kaimu kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza amethibitisha kutokea ajali hiyo na vifo.

Last edited by a moderator: