mzee wa njaa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2011
- 1,366
- 223
watanzania bana ...si utafute kazi kwingine
Vicky Mtetema acha kufanya ofisi ya Under The Same Sun Mali yako......Peter Ash amekuweka hapo kwa kukuamini na sio porojo..Hiyo tabia ya kuita watu kwenye interview na kuchukua ndugu zako pamoja na jamaa zako ungeamua moja kwa moja kuwaweka kuliko kusumbua watu na kuwapotezea muda wao na tambua muda una thamani kubwa.
Iko siku na wewe utaicha ofisi hiyo na atashika mtu mwingine kwani ofisi hiyo ni taasisi inayoheshimika sana Duniani kwanini wewe Tawi la Tanzania unaliharibu kwa kuleta undugu kwenye ajira? Heshimu taaluma za watu na wewe utaheshimiwa.
Ukibisha tutatoa mambo ya ndani kwenye ofisi hiyo tunakuomba uache...Ile documentary isikupe kiburi sana naona kwasasa una nyodo nyingi kwa hako kacheo......
Naswasilisha.....Vicky tumechokaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa acha hizo.
haya mambo ya undugu kwa kweli ni issue. Sometime wengine wanamix na kaudini kidogo.Vicky Mtetema acha kufanya ofisi ya Under The Same Sun Mali yako......Peter Ash amekuweka hapo kwa kukuamini na sio porojo..Hiyo tabia ya kuita watu kwenye interview na kuchukua ndugu zako pamoja na jamaa zako ungeamua moja kwa moja kuwaweka kuliko kusumbua watu na kuwapotezea muda wao na tambua muda una thamani kubwa.
Iko siku na wewe utaicha ofisi hiyo na atashika mtu mwingine kwani ofisi hiyo ni taasisi inayoheshimika sana Duniani kwanini wewe Tawi la Tanzania unaliharibu kwa kuleta undugu kwenye ajira? Heshimu taaluma za watu na wewe utaheshimiwa.
Ukibisha tutatoa mambo ya ndani kwenye ofisi hiyo tunakuomba uache...Ile documentary isikupe kiburi sana naona kwasasa una nyodo nyingi kwa hako kacheo......
Naswasilisha.....Vicky tumechokaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa acha hizo.
weka evidence of proof dada vicky aumbuke