Vicky Kamatta: Dada mwenye mafanikio

Saidia kijana!WEBSITE haionyeshi graduates ...wengine sisi computer ni kama typewriter
nadhani wameshatowa okey nitascan kwa ajili yako tuma email adress yako ni font page na page ya majina . ila itachukuwa mda mpaka nimsake mwenye kitabu
 
Nimependa Vicky alivyoimba Tabora na wanafunzi siku ya maadhimisho ya wanawake! Kumbe raisi JK naye alikuwa ndiye mgeni rasmi huko huko Tabora. Amependeza sana na shati lake

http://www.jambonetwork.com/blog/?p=67817

Mkuu taratibu...naona ujumbe wako japo hauja njooka sana lakini una kamilisha maudhui...hahahaaa ..Nadhani si sharti tu..Ukitazama huenda wakati Vicky anaimba hata katabasamu kazuri kalijitokeza zaidi. Nakumbuka ile mikuano yetu kipindi hicho binti kama yeye keshaandaliwa chumba cha kufikia tokea juzi.
 
Duh! huyo V.k. kumbe ni jamvi la wageni? heh heh heh, yaani sasa anataka kugombea ubunge? hamjui maana yake? anataka akienda bungeni awateke vigogo wote na mifuko yao kwa pamoja kwani wakiwa nje ya bunge wanatawanyika sehemu mbalimbali. tumekwisha! ana uvaaji wake wa mitego mitego sana.
 
Hahahah mkuu haya mambo acha kama yalivyo! Mkuu wetu naye hachagui fatilia anapoenda JK na VK huenda kutumbuiza, huenda baadaye mzee naye anafanya marufundi in Dark !
 
Hahahah mkuu haya mambo acha kama yalivyo! Mkuu wetu naye hachagui fatilia anapoenda JK na VK huenda kutumbuiza, huenda baadaye mzee naye anafanya marufundi in Dark !

Hahahaaa Au Mkuu tuseme Sio marufundi in dark ..Ila nadhani baada ya VK kutumbuiza na KJ ana kwenda kumtumbuiza..! wakati mwingine mate yananijaa kinywani nikikumbuka vitendo hivi..!
 
Duh! huyo V.k. kumbe ni jamvi la wageni? heh heh heh, yaani sasa anataka kugombea ubunge? hamjui maana yake? anataka akienda bungeni awateke vigogo wote na mifuko yao kwa pamoja kwani wakiwa nje ya bunge wanatawanyika sehemu mbalimbali. tumekwisha! ana uvaaji wake wa mitego mitego sana.

Hahahaa ..Uvaaji wa jinsi hiyo THE BOSS hajamuona tu..!! The boss upo wapi mkuu wangu, Ngoma ina nembo ya For sell unambiwa... Si uitafune kaka ?
 
........Inatosha jamani, mbona mnavua nguo hivi dada wa watu?Tuwe na kiasi kama kumchambua imetosha jamani.
 
Ila huyu dada alimpelekesha marehemu acha tu mpaka nyimbo zake zikawa hazipigwi clausi!
 
Nadhani Roza anamzungumzia marehemu Mbunge kijana aliyetokea radioni straight mjengoni. C waona anakwambia V.k ngoma zake ikawa hawazipigi
 
Kama mafanikio yana[patikana kwa njia hizi zisizo rasmi ingawa ni rasmi, basi kila la kheri
 
Hivi mkuu anao wangapi? wa halali na wa haramu, maana ni balaa juu ya blaaa
 
Tusimponde sana binti wa watu...ni mzuri kiukweli.Wa kulaumiwa ni hao wanaume wanamsumbua binti wetu.Mababa mazima yanaacha nyumba zao muda wote kukasumbua kadada size yetu kabisa,sasa sisi tucheze na nani?
Tujadili na wamama wanaoliwa na ze mkulaji kwa asante ya vyeo.
 
Sio mzuri kihivyo...demu wa kawaida tu!! Huo u-star wa kuimba ndio unampa chati, watu wanataka kuimbiwa wakati wakila tunda...!! Ndio hivyo!
 
Back
Top Bottom