Vichwa vya Magezeti ya Bongo

Vichwa vya Magezeti ya Bongo

ngomicom

Senior Member
Joined
Jul 6, 2012
Posts
123
Reaction score
19
Wapendwa Wana JF hili tatizo la ama wahariri wetu kuandika kwa maksudi kibiashara au kufanya makosa katika uandaaji wa vionjo au vichwa vya magazeti bila kuzingatia mantiki na uhalisia wa habari yenyewe linazidi kukua sasa.


Hebu pitieni magazeti ya Leo na muone Hali halisi juu ya hutuba ya Mh. Rais Jk ilivyo. Wapo waliosema "mishahara juu" wengine "kima cha chini karibu 315,000/, kama kweli ulifuatilia hutuba ya Mh. Niambie huu uandishi si wa hovyo hovyo unaolenga maslahi binafsi?.

Kwa tafsiri yangu Julai wafanya biashara watapandisha bei ya vitu kisa mishahara inapanda, tuwe wazalendo jamani!
 
Ndiyo tafsiri ya jk au hukuipata. Ulikuwa umelala nini. Ulikuwa una hoja lakini hukuiweka vizuri. Hebu iweke vizuri
 
Ndiyo tafsiri ya jk au hukuipata. Ulikuwa umelala nini. Ulikuwa una hoja lakini hukuiweka vizuri. Hebu iweke vizuri

Jk alitoa kauli sio tafsiri, hapo ndo iliposhida kwa wahariri wetu au tumeweka maslahi Mbele.
 
Back
Top Bottom