Mkubwa Jalala
Senior Member
- Mar 21, 2012
- 112
- 23
mimi ni juma baba anang'ombewake ng'ombe wake ni mweusi baba ana sema kimbia ng'ombe kimbia upesi baba ananjaa
Je wakumbuka haduthi ipi? Taja kichwa chake tu. Mi naanza,
1. Ali ni mtoto mtundu.
2. Watoto wageuka mawe.
3. Safari ya mti.
4. Sadiki na Sikili.
Tupia unayokumbuka bila kujali darasa.
Nimeamini waTzwengi ni masikini yaani kati yenu hakuna hata mmoja aliesona shule wanazoziita ENGLISH MEDIA SCHOOL
Kama yuko aweke kichwa cha kitabu kwa hiyo lughashokolokobangoshery, shokolo kwa wanaume,kisukuma
Nimeamini wa Tz wengi ni masikini yaani kati yenu hakuna hata mmoja aliesona shule wanazoziita ENGLISH MEDIA SCHOOL
Kama yuko aweke kichwa cha kitabu kwa hiyo lugha