kawakama
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,299
- 391
hahahah, ni kweli kabisa mkuu, kwani wewe ulimuona akiinua shingo? mimi mwanzo sikumtambua nilidhani UKAWA WAMEWEKA ROBOT BADALA YA LOWASSA
mkuu we hufai kabisa nimecheka kwa sauti hadi wife kaniwasha kofi kwa distarbunce,bila kuinua shingo duh hatar