Vichwa vya habari magazetini kesho

Vichwa vya habari magazetini kesho

westgate

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
278
Reaction score
279
Kesho nadhani magazeti yatashindana kwenye headings...

Mtanzania - lowassa tishio
Mwananchi - jiji lasimama
Nipashe - lowassa raisi

Emh tuendelee
 
Habarini za usiku huu, please naomba kujuzwa vichwa vya habari vya magazeti ya kesho na bila ya kusahau Gazeti la UHURU
 
UWAZI- HAKIKA LOWASA NI MGONJWA
IJUMAA-MASKINI LOWASA ASHINDWA KUSOMA HOTUBA, ATUMIA DAKIKA SABA KUELEZA KISICHOELEWEKA
MAWIO TOLEO MAALUM- LOWASA YUKO FITI KUINGIA IKULU OKTOBA..hahahaha
MZALENDO- MAGUFULI AZIDI KUCHANJA MBUGA, AWAKOSHA WATANZANIA KILA AENDAPO, YUPO KATIKA MKOA WA TANO WAKATI UKAWA HAWAJUI WAANZIE WAPI KUTOKANA NA KUZIDI KUDORORA KWA AFYA YA MGONJWA WAO
JAMHURI- Lowasa haumwi, adhihirisha yupo fiti baada ya kusoma hotuba yake bila kuinua shingo.....hahhahhahahha
 
Lowassa ashindwa kuhutubia!! Mbatia atukana! Slaa ajificha,asusia uzinduzi! N.k
 
Uhuru,ukawa washindwa kutaja vipaumbele vyao yawapa kibarua mama ntilie,bodaboda,machiga,wakulima,wafugaji,waisome kwenye tovuti, Tanzania daima,ukawa yatetemesha nchi.
 
UWAZI- HAKIKA LOWASA NI MGONJWA
IJUMAA-MASKINI LOWASA ASHINDWA KUSOMA HOTUBA, ATUMIA DAKIKA SABA KUELEZA KISICHOELEWEKA
MAWIO TOLEO MAALUM- LOWASA YUKO FITI KUINGIA IKULU OKTOBA..hahahaha
MZALENDO- MAGUFULI AZIDI KUCHANJA MBUGA, AWAKOSHA WATANZANIA KILA AENDAPO, YUPO KATIKA MKOA WA TANO WAKATI UKAWA HAWAJUI WAANZIE WAPI KUTOKANA NA KUZIDI KUDORORA KWA AFYA YA MGONJWA WAO
JAMHURI- Lowasa haumwi, adhihirisha yupo fiti baada ya kusoma hotuba yake bila kuinua shingo.....hahhahhahahha

Mnapenda hoja ya ugonjwa hivi wazazi wenu ni Wazima !!??
 
Uhuru: Pinda ahimiza kilimo cha ufugaji bora wa nyuki.
Mtanzania: Lowassa aizika rasmi Ukawa.
Mwananchi:Lowassa alisimamisha jiji la Dar.
Mtanzania: Sumaye tishio kwa vijembe dhidi ya CCM.
Mawio: sintofahamu ya Magufuli.
 
Uhuru:Magufuli aamua kutumia sauti ya chini ili watu wamuelewe vizuri.teh teh
 
Back
Top Bottom