VICHWA VYA HABARI VYA KESHO>>>>
Hali ni tete zanzibar,mchungaji mwingine apigwa risasi na kufariki.
Chuki za kidini zaondoa uhai wa mchungaji.
Uamsho wafanya mambo,wahusishwa na kifo cha mchungaji Mushi.
Mauaji ya mchungaji mushi,kuhamasisha hasira za wakristo.
Kanisa lalaani vikali mauaji ya kinyama ya mchungaji Mushi.
Uamsho wafanya mauaji mengine.
Uamsho ni alqaida
Na mengine wataendelea kuokota humu jf.
VICHWA VYA HABARI NA VINGINE VINGI TUVITARAJIE KUVIONA CKU YA KESHO.
HAKUNA DINI ILO HUSIKA NA MAUAJI HAYO KWA HIYO WAANDISHI WA HABARI MSIOJUA TAALUMA YENU VIZUR,TUNAWAPA RUKSA KESHO ANDIKENI UONGO HADI MCHOKE.
Kwa kweli waandishi wa Tanzania ndio janga la mwanzo la taifa hili kama Rwanda.