Vichekesho vya pensheni

Vichekesho vya pensheni

CalvinKimaro

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
245
Reaction score
314
VIICHEKESHO VYA PENSION
1. Watu wanasahau ndani ya pension mchango wa mwajiri ni mkubwa kuliko wa mfanyakazi!
2. Kudai pension kabla ya kuzeeka ni sawa na mtoto Wa shule ya msingi kudai baba ampe ada mpaka ya chuo kikuu atapanga mwenyewe utaratibu wa kulipa ada baadae.
3. Watu wakizeeka wanadai serikali haiwajali wazee serikali nayo inawapeleka Nungwi kustarehe.
...
Kwa vichekesho hivi bonyeza neno "TANZANIA"
 
Ungeanza kutuambia maana ya vichekesho ingesaidia kuvielewa vichekesho ulivyotoa.
 
VIICHEKESHO VYA PENSION
1. Watu wanasahau ndani ya pension mchango wa mwajiri ni mkubwa kuliko wa mfanyakazi!
2. Kudai pension kabla ya kuzeeka ni sawa na mtoto Wa shule ya msingi kudai baba ampe ada mpaka ya chuo kikuu atapanga mwenyewe utaratibu wa kulipa ada baadae.
3. Watu wakizeeka wanadai serikali haiwajali wazee serikali nayo inawapeleka Nungwi kustarehe.
...
Kwa vichekesho hivi bonyeza neno "TANZANIA"
Umeandika madudu tu.
 
Kuna mstaafu yoyote aliyechukua pensheni yake alisema Serikali haiwajali , mbona mnawawekea maneno watu.
 
Hizi id fake! Usikute mhusika ni mtu mzito sana kuliko tunavyodhania.
 
VIICHEKESHO VYA PENSION
1. Watu wanasahau ndani ya pension mchango wa mwajiri ni mkubwa kuliko wa mfanyakazi!
2. Kudai pension kabla ya kuzeeka ni sawa na mtoto Wa shule ya msingi kudai baba ampe ada mpaka ya chuo kikuu atapanga mwenyewe utaratibu wa kulipa ada baadae.
3. Watu wakizeeka wanadai serikali haiwajali wazee serikali nayo inawapeleka Nungwi kustarehe.
...
Kwa vichekesho hivi bonyeza neno "TANZANIA"
Mkuu hueleweki unakuwa kama umeheuka?
 
Huwezi kuelewa kama una fikra/akili za Ufipa mkuu!
Mleta mada yuko sahihi na watu timamu wataelewa mantiki ya Hoja yake.
Kwenye kueleweshana kama mtu hajaelewa kumbe napo maufipa yamo? Siyo watanzania wooote wanashabikia mavyama ndg. Tueleweshane tu kwa nia njema ndo hata ukiwa na mrengo kisiasa utawapata wale wasio na vyama wakakuunga mkono. Hivi mna wakatisha tamaa wasiopenda siasa wanajua huko ni matusi na kukejeliana tu.
 
HAKUNA POST HAPO ,,,
1,Fanya analysis ya new way of pension
( full pension ,,,1/580 x jumla ya miezi ya uchangiaji x mishahara (APE)
2, MKUPUO 1/580 x jumla ya miezi ya uchangiaji x mishahara (APE) X 12.5 X 25%
3,PENTION KWA MWEZI 1/580 x jumla ya miezi ya uchangiaji x mishahara X 75% X 1/12

KWA 12 YEARS TU JAMANI TOENI MZIGO MTU AJUE PA KUANZIA hahaa,,,,fomula hizo duuuu...
 
Lione kama senge. Sasa ndio umeandika nini?
 
Back
Top Bottom