Vichaka Vyenu Vinakatisha Mud bwana,

Vichaka Vyenu Vinakatisha Mud bwana,

Vaislay

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
4,532
Reaction score
1,840
Natanguliza samahani kwa wale ambao nitakuwa nimewakwaza jana,lakini ndugu zangu,Tupo kwajili ya kufahamishana tu sio ugomvi wala kashfa,kwani najua mtu akishajua mapungufu yake anajua jinsi ya kutafuta suluhisho.

Nawaheshimu sana kaka zangu,baba zangu,wadogo zangu wote humu JF,Tusambaze upendo.MBARIKIWE.

Back to our main issue:

Jamani jamani jamani,tuko faragha, mwanaume unataka upewe raha zote za dunia,na faragha ni sehemu tofauti na sehemu yoyote,nahitaji watu kujiacha na kujimwaga kwa kila aina lakini kumbe sehemu nyingine majanga hata kuisogelea unawaza na mud inatoka.Unakuta ndugu honey kafuga msitu mkubwa wa kuka chatu na wajukuu zake,

Wanaume kwanini mnakuwaga wavivu wa kusafisha mazingira ya bwana mkuu?(kunyoa mazivu) unataka kumlisha mwenzio majani na taka taka nyingine jamani kweli?

Eti cha ajabu mnakumbuka kutoa ndevu na nywele kila baada ya siku kadhaa lakini zivu na makwapa,ni vichaka vya hatari.

Tunajua mnakuwa busy na majukumu, tunajua mnapitiwa,wewe uliyeoa mkumbushe basi mkeo akusaidie maana si wake wote wanajua wajibu wao,

Wewe unayejiita bachela,jitahidi kuweka hata ratiba au maandishi ukutani ukumbuke kujinyoa sio mnakuja kutulalamikia hapa,eti demu gani hajui mapenzi,hajui kunyonya, anyonye miuchafu hiyo?

Najua mtarudisha kibao kwa wanawake pia mkumbuke nyie mmezidi tena ukutane na mwanaume hata kapafyumu hakajui,saaalaaaleeee boxer uvundo uvundooo.
Kwakweli inasikitisha

JITAHIDINI USAFIIII BWANA
 
thread zako nying unatukashif sana wanaume
 
Dada weee!km bwanaako afyekag,we si ukafyeke huo ukoka wake?
 
thread zako nying unatukashif sana wanaume
Sisi mnatukashifu sana,Kwakuwa ni wanawake mnasema ni wanyonge tunaamua kunyamaza,tukisema tuongee naonekana tunatoa kashfa,dharau,kejeli.Sidhani kama nimeongea kitu cha ajabu hapa
 
Umeona eeeee mi naona usingle mom unamsumbua.
He he he kichaka kidogo dogo kiwe kinachomachoma rahajeee sasa afu vidole mwenzake vinywele si upara
we si mwanamke kama mimi, Omba Mungu akuepushie na janga lolote, Usiombe ukamcheka mlemavu barabarani huku wewe bado waishi.
 
hiv garden bila nyasi inaitwaje?hiv na nyie wanawake mbona kwenye chupi zenu hapo mbele mbona huwa nyeusi?
hua mnatoa molasesi au?
HA ha ha....anzisha uzi mkuu
hapa jibu shitaka la bibie tuu
.......au ndo loding error......
 
Wewe acha usengenyaji tupia kwanza kapichamo kako tuone ubora wa hiyo forest yako
Nyie wanawake ni watu wabaya sana mnatembea na visu huko kwenye maku zenu na zinatukata sana ila tunawavumilia tu
 
Jamaa zako wote unaokutana nao,Wana vibamia halafu hawanyoi vuzi.

Jitahidi Kutafuta wanaonyoa mavuzi na wenye uume wa wastani.

Inawezekana hao wote wakakufanya uwe single mom,kwani wamekuzalisha na kutoka nduki.

Polee
 
Wewe acha usengenyaji tupia kwanza kapichamo kako tuone ubora wa hiyo forest yako
Nyie wanawake ni watu wabaya sana mnatembea na visu huko kwenye maku zenu na zinatukata sana ila tunawavumilia tu
Mkuu kwahiyo umejaa majeraha? Pole sana
 
Duuu...mawe haya hatari sana, hapa wanaume watatokwa na cheche hatari?
miss neddy Kaizer msije mkasema sikuwaita

Kama ni Mume nitashave bila tatizo na kukumbuka jukumu langu vizuri,lakini so called boyfrend and boyfires,sitoweza kwakweli,niwaandale mazingra wengine? hahaha hapana kabisaaa haikubaliki kwangu.

Looh ila kichaka kinabore anayependa kichaka nae ni kichaka square
 
Last edited by a moderator:
we si mwanamke kama mimi, Omba Mungu akuepushie na janga lolote, Usiombe ukamcheka mlemavu barabarani huku wewe bado waishi.

He he mie ni mwanamke na hata nikiwa singe mom nitatafuta jiboro la kunitosha kisa nitalinyoa kiduku na nitalipamba tafuta bwana bibie nachoona hapa kutoka kwako hauko stable kwa mahusiano,afu dizaini kama huna mtu mmoja.
 

Attachments

  • 1402307692693.jpg
    1402307692693.jpg
    47.5 KB · Views: 528
Back
Top Bottom